Wanapetiwapetiwa kwanza alafu wanapewa mahitaji yao bila kufanya kazi [emoji4]Hamlimi na kila mnachotaka kula kipo tofauti na mkoani!!
So vyakula huwa vinashuka kutoka mbinguni kama vile vichwa vya treni sio?
WanalishwaHamlimi na kila mnachotaka kula kipo tofauti na mkoani!!
So vyakula huwa vinashuka kutoka mbinguni kama vile vichwa vya treni sio?
Halafu watu hawajajua tu...Mwanaume wa dar akipata kahela kidogo tu anakimbilia kununua nguo..zile wanaita kamatia chini na vijeans vilivyochanika chanika kweny magoti
Nimetumwa na bibi yako maana umri wa kuwa na mademu umeshaenda...nimewachia nyie wajuu zangu...Mkuu umetumwa na demu wako uandike hivyo nn
Hao wadogo zako si walikuwa wanakopi na kupest walichokikuta kwa nyie kaka zao...Halafu watu hawajajua tu...
Kwa mwanaume aliyezaliwa dar hawez kufanya vitu mnavyosema nyinyi, hao wanakuwaga waliotoka mikoani wanavamia jiji kwa pupa, mimi nawajua wadogo wametoka mwanza washamba sahv wameanza kuvaa vimodo, kunyoa viduku, kuvaa milegezo, sasa mbona sisi wa dar natural born dar men hatunaga hizo mambo, ni uzuzu tu wa kuiga mambo, chunguza wote wenye hayo mambo ni wakuja tu
aiseee😀😀😀😀😀Na habari nilizozipata ni kwamba mwanaume wa dar hawez kula muhindi mzima akamaliza ndo mnauziwa vpande vdogo vdogo
biscuit yenyewe wanadai ngumu hadi waloweke kwenye maji ilainikeTabu gani eleza sasa?
Nyie wakula biskut ya 500 na soda mnalala mnaweza mleta nan shida.
Wanakopi wa washamba waliowatanguliaHao wadogo zako si walikuwa wanakopi na kupest walichokikuta kwa nyie kaka zao...
Sas wew unataka ulale nao pamoja na wasione wivu,,,,,
Hawa pasua kichwa kweli
Mwanaume wa Dar anakunywa soda na biscuit ya 500 kashiba kabisa na analala.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]biscuit yenyewe wanadai ngumu hadi waloweke kwenye maji ilainike
Aahhh wapi...mkoani huwez kukuta ayo makitu asee. Mkoani kila mwanaume ni ngumi jiwe huwez kuona mazoez ya kimama ivoHuku napo si ni mkoani?
Ha Ha ha mkuu unataka kukataa tanga siyo mkoani?Aahhh wapi...mkoani huwez kukuta ayo makitu asee. Mkoani kila mwanaume ni ngumi jiwe huwez kuona mazoez ya kimama ivo
Hahahahahahawanaume wa dar mnapenda kulamba pipi za kijiti
hahahahaa
Unaongelea watu tofauti sana, hao sio wanaume wa dar, labda unasemea wa tanga
Wanaume wa tanga na wa mwambao ndo wanajulikana kwa ulegevu, wanajivunia mapenzi tuu, wa dar wanasifika kwa mishe mishe, tangu kitambo watu wanajua dar dsm darisalama ni jiji la kukaa kwa akili, huo ulegevu mnaotupatia waDar ni mbinu tu ya kuhalalisha wageni wavamia jiji, hamna aliyezaliwa akakulia dar akawa na mikogo hiyo, wote ni wazamiajiHa Ha ha mkuu unataka kukataa tanga siyo mkoani?
Hebu tutajie wapi ni mkoani sasa
Hiyo tanga umesema wewHa Ha ha mkuu unataka kukataa tanga siyo mkoani?
Hebu tutajie wapi ni mkoani sasa