rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 5,749
- 7,038
Umewapoza alafu umewalipua[emoji28] [emoji28] [emoji28]Kwa akili yangu ndogo ya darasa la saba mleta uzi sio wa Dar bali anataka kutafuta povu la wanaume wa Dar.
Sijaona mwanaume wa Dar kujivunia kuwa yeye ni wa Dar wanavoogopa hapa kujitambulisha ni hatari sana.
Ila asilimia kubwa wanaume wa Dar wanakunywa soda kwa mrija.
Haha at the moment wakiwa juu ya bodaboda wanakula mahindi ya kuchoma yaliyowekwa ndimu na pilipili.Dar mnapanda mshikaki kwenye bodaboda wanaume huku mmeshikana viounoni
Ila hawa watanga nao huwa wanatuangusha yani unakuta mwanaume anatembea na khanga eti wanaita msuliHa Ha ha mkuu unataka kukataa tanga siyo mkoani?
Hebu tutajie wapi ni mkoani sasa
Jifunze kuandika sasa.Dar mnapanda mshikaki kwenye bodaboda wanaume huku mmeshikana viounoni
Ha ha ha bora umesema ukweli labda tafsiri ibadilike watu wa mwambao wa Pwani nao wawe included kwenye wanaume wa Dar maana bila hivyo ni kasheshe mambo yao wakiwa watu wa mkoaniIla hawa watanga nao huwa wanatuangusha yani unakuta mwanaume anatembea na khanga eti wanaita msuli
Hua napata tabu sana hahaha
umeandika kwa uchungu sana jamaa yangu......KARIBU DARWanaume wa Dar baadhi yenu mnakula kwa hisani ya kazi za Dada zenu wanazo zifanya usiku.
Mwanaume wa Dar anakunywa soda na biscuit ya 500 kashiba kabisa na analala
Wanaume wa Dar baadhi yenu mnajichubua pia kama wanawake wasio jikubali.
Wanaume wa Dar baadhi yenu mnajipaka mafuta kwenye lips mkidai zinakauka.
Wanaume wa Dar baadhi yenu mnashinda kwenye kioo mkijipodoa
Wanaume wa Dar baadhi yenu mkitoka bafun mnavua nguo zote mnajipaka mafuta mwili mzima, sisi wa mkoani tunajipaka mafuta baada ya kuvaa nguo tukimaliza kuoga.
Wanaume wa Dar baadhi yenu ni wambea, wambea tu kama wanawake
Wanaume wa Dar baadhi yenu mnamapozi ya kike sana mpigapo picha, mfano kulamba, kungata lips wakati wa upigaji wa picha.
Kwa leo niishie hapo.
umeandika kwa uchungu sana jamaa yangu......KARIBU DAR