Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We jishaue tu.
Mwaahh! Mwaahh! Mwaah!
We saa nane sifianeni tu
mi namsubiria madam b kwenye kona nakula vyangu naondoka,
Ben sanane penzi kitovu cha uzembe! 😀😀😀
Sorry Swits,
Huyo si yule niliekuambia aliolewa na Askofu?Nimekumbuka vituko vyake tu lakini si kama unavyofikiria.
Duh usije ukaishia kugongwa na nyoka huko.
We saa nane sifianeni tu
mi namsubiria madam b kwenye kona nakula vyangu naondoka,
We saa nane sifianeni tu
mi namsubiria madam b kwenye kona nakula vyangu naondoka,
du ilo busu kama unatafuna nyama mmh
Ila si kwa penzi langu.