Najivunia kuwa na wewe Madame B, Sichoki kuisikiliza sauti yako tamu masikioni mwangu

Najivunia kuwa na wewe Madame B, Sichoki kuisikiliza sauti yako tamu masikioni mwangu

Last edited by a moderator:
Ngastuka, machale kundensa, Madame B kalegeze limbwata otherwise huyu jamaa atachizika, khaaa...!! sipati picha siku ya kibuti chake ikifika..
 
Last edited by a moderator:
Tatizo huku kuna wababe!...yaan kupotea njia 2 jamaa anantoa resi!... Xo, ikabid nikatize kazi yangu nikalala kwenye mtaro!! Na akiendelea na hyo tabia ntamfanya client kweny hyo kaz yangu.
 
Tatizo huku kuna wababe!yaan kupotea njia 2 jamaa anantoa resi!. ikabid nikatize kazi yangu nikalala kwenye mtaro! Na akiendelea na hyo tabia ntamfanya client kwny hyo kaz yangu

Usijali bhana! UTANI tu. Karibu
 
Shem langu la Ukwenhe watu8, shem wako ndo nishazama ndani ya moyo wa mtu.
Sasa Utakuwa unakuja ikulu kana kwamba unaenda mpirani.

Hv shem Couple bora ya ChitChat alishinda nani?
Ni mie na Saccos yangu au?

Hehehe mie nilijitoa mapema maana na uzee huu hayo mambo sikuyaweza.

Nadhani utakuwa ni wewe ulishinda, maana shem umekaba penati...
 
Nyani Ngabu, ndo mana niko nae kwa sababu hyo hyo.
Unajua mkiwa wake wenza, mnasaidiana majukumu.

Duh ndo maana nakupenda swits!

Umejibu kikamanda,umejibu ki-Firstlady.Kama Hillary Clinton kwenye scandal ya Monica Lewisky

CC: Majungu Camp
CC:Vyombo vya habari
CC:Wadaku
CC:Wake zangu wa zamani na waume zake wa zamani
 
K. Thanx... Anyway, Im a new guy in Jf... Bado nashangaashangaa huku huko... Nielewe mji huu kwanza.
 
Haha Nyani Ngabu

Acha fitn mkuu,nilishatoa tamko tayari.Sasa hivi ni Madame B

Heri umekuja..mwambie mkeo simtaki...ananisumbua all night long eti mtalaka hatongozwi mara mahawara hawaachani..niko na Arabela
 
Last edited by a moderator:
Thanx... Anyway, Im a new guy in Jf... Bado nashangaashangaa huku huko... Nielewe mji huu kwanza.

Wewe usijali kila mahali ni kwako humu, ila soma kwanza ramani. Ufuate maelekezo ya jf tu. Karibu sana.
 
Back
Top Bottom