Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,157
Ushoga kazi kweli kweli......tena ukiwa wa mjini ndio hasaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shoga hebu soma hapo juu kwanza, najua unaniweka mjini sana shoga, siwezi kucheza na wewe.....chezeya shogake wewe
Shoga hebu soma hapo juu, najua unaniweka mjini sana shoga, siwezi kucheza na wewe..chezeya shogake wewe
Ohoo! Mimi nilitaka unisitiri ili asiendeleze tabia yake ya kunitaka tu. Si umeona eti mtalaka hato...
Well Well Well Shoga.
Hayo ndo mambo.
Tena wiki hii kuna kibao kata Magomeni mtaa wa Idrissa, nyumba namba 27, twende tukajishaue na madera yetu ya Zenji shoga.
Well Well Well Shoga.
Hayo ndo mambo.
Tena wiki hii kuna kibao kata Magomeni mtaa wa Idrissa, nyumba namba 27, twende tukajishaue na madera yetu ya Zenji shoga.
Ushoga kazi kweli kweli......tena ukiwa wa mjini ndio hasaaaa
Umeona ee!
Ushoga wa mjini hapa, usipokuwa kauzu, watakushika sharubu mpaka wazing'oe.
Na hasa huku kwetu huku, kitimtim na kimuhemuhe kila uchao.
Anataka sura ianze kufifia, hajui mji huu gharama mie itabidi unitaftie tu huyo Ritz kama ana madolari yake
Oi oi....
Haya mwanakwetu, za ndotoni?
Wanasemaje?
Au ndio unarudi Olimpia, maana sa hv kushakua kijiwe cha mjini.
Karibu, mlango uko wazi.
Hawezi kukaa hapa, ndege ulishampeperushiaMjini rareeee!!!
Mwanamke matumizi, mwanamke kutumia pesa, mwanamke kuvaa na makorokocho kibao.
Anataka akufifishe mwili wako wakati Obagi uliitafuta kwa jasho,uliipandia ndege mwambie.
Hvi yuko wapi, kasepa!!!
Heheheeeee Sie ndio Chum chum wana pelemba, akija na shungi atarudi na kilemba.
Ila nawe shoga kisa unanitoa madera na obagi ndio kunifungia milango kwa kila kinachochomoza...ila kwa kuwa nalinda ushoga basi itabodi nimkatae huyu Arushaone. , akwende huko mie shoga yangu ndio kila kitu, nani atanipa umbea wa mjini nikigombana nae? nani atakuwa ananikopesha hela ya karolite aka mie akwende hukoooo
Acha kelele, niko naye kwenye PM.
JIBEBE...!
Pruuuuuuuuu mpaka maka! Oi Oi
Hawezi kukaa hapa, ndege ulishampeperushia
Utelezi.
Kama nawe kweli mtoto wa mjini, mwaga pesa chini tuteleze nazo.
Oi Oi hiyo... Umesikia anaolewa mtu hapa.
Hawezi kukaa hapa, ndege ulishampeperushia