Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushemeji tungezima taa biree. Ila huu ukaka hauna neno. Mie sichezei sharubu, namnyoa sharubu. Usihofu mbona Paw anamjua ndugu yake huyu.
Ukimsikiliza Madame B kwa kila kitu utajikuta huongei na mabesti zako kama mimi. Haya hapo juu nimeongea kibaya chochote na wewe?
Maskini Madame B yalivyokushuka...!!! Ukome kuingilia visivyokuhusu!
Unanitia ashiki! Kama hujui kusoma hata picha si ushaiona bibie?
Unanitia ashiki! Kama hujui kusoma hata picha si ushaiona bibie?
Acha umbea wewe. UMETUMWA?
Copy kwa.......,
narudia tena Copy kwa....., (huku naangalia mapigo yako ya moyo yanavodunda
Niitume?
Niitume?
Aii wewe subiri basi walale ndio useme haya, shogangu Madame B anasikia kila kitu, si unamjua tena anasikilizia hapo dirishani?ngoja basi alale ndio nitakujibu vile mimi nasikia
Nakuaminia...ila nimeshamtanguliza alikokuwa anatishia kupeleka copy. Anaonaje aibu...!?
Shoga hebu soma hapo juu kwanza, najua unaniweka mjini sana shoga, siwezi kucheza na wewe.....chezeya shogake weweNishasema ushoga wa mjini kazi, ona sasa.
Ina maana wewe Mrembo by Nature hujui kama Arushaone ni zilipendwa wangu?
Na siku zote unaambiwa Mahawara hawaachani.
Kaa mbali na tembo.
Unakijua kikundi cha MKODOBWE INC chini ya mwenyekiti mie mwenyewe Madame B, katibu mwaJ, mweka hazina Kipipi na wapambe akina lara 1 na snowhite.
Utarudi kwenu Mferejimaringo Zenji kwa ngoko.
Endelea tu na najua unataka kutuma kwa Arabela ila naye hajaziki ujinga kirejareja kiviile!
Arabela anakuhuu???
Unajiwahi ee!!!
Sasa mfate Mrembo by Nature uone kama hata Panya watabaki ghetto kwako.