Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
kiwatengu naruhusiwa kuwafagilia akina amu, vivian, Arabela, Honey Faith, brenda18 na wengineo au nimfagilie marejesho peke yake!!!??
Mbona kama kunakutafutana ubaya hapa!!
#justAsking #
Huo mwito nimeuona ndo maana nikamwambia watu8 aache mpango wa kando ampende mkewe measkron huyo Zahra White sijui anamtafutia nini watu8 hivyo
copy HorsePower na SnowBall
Mr Rocky, Zahra White huenda anataka kuvunja ndoa ya watu8!
Tukirudi kwenye mada, sidhani kama nina mengi ya kusema kwa my dearest wife, sina hakika kama ana akili sana au laa au ni mzuri sana ama laaa, au ana tabia njema sana au laa, au mpole na mnyenyekevu sana au laa, au anaheshima sana au laa, ila ninachoweza kusema, hakika amestahili kuwa mke wangu kwa kila hali, na mpaka sasa sijaona bado wa kufanana naye!
watu8 hebu kuja pande hizi ujibu tuhuma upesi.....Huo mwito nimeuona ndo maana nikamwambia watu8 aache mpango wa kando ampende mkewe measkron huyo Zahra White sijui anamtafutia nini watu8 hivyo
copy HorsePower na SnowBall
Hahaaaaa.... usitake nkacheka kukwetu,lol
watu8 hebu kuja pande hizi ujibu tuhuma upesi.....
nifagilie mwaya nami nijisikie
kiwatengu naruhusiwa kuwafagilia akina amu, vivian, Arabela, Honey Faith, brenda18 na wengineo au nimfagilie marejesho peke yake!!!??
Mbona kama kunakutafutana ubaya hapa!!
#justAsking #
Mmh! Haya baba ntajifunza kusifia maana sijui
enhee! mambo huwa yanaanza taratibu hivi..afu mwisho wa siku inakuwa full