Najivunia sana! Kuwa na Mke mwenye AKILI...

Najivunia sana! Kuwa na Mke mwenye AKILI...

Huo mwito nimeuona ndo maana nikamwambia watu8 aache mpango wa kando ampende mkewe measkron huyo Zahra White sijui anamtafutia nini watu8 hivyo
copy HorsePower na SnowBall

Mr Rocky, Zahra White huenda anataka kuvunja ndoa ya watu8!

Tukirudi kwenye mada, sidhani kama nina mengi ya kusema kwa my dearest wife, sina hakika kama ana akili sana kuliko wengine au laa au ni mzuri sana kuliko wengine ama laaa, au ana tabia njema sana kuliko wengine au laa, au mpole na mnyenyekevu sana kuliko wengine au laa, au anaheshima sana kuliko wengine au laa, nk ila ninachoweza kusema, hakika amestahili kuwa mke wangu kwa kila hali, na mpaka sasa sijaona bado wa kufanana naye!
 
Mr Rocky, Zahra White huenda anataka kuvunja ndoa ya watu8!

Tukirudi kwenye mada, sidhani kama nina mengi ya kusema kwa my dearest wife, sina hakika kama ana akili sana au laa au ni mzuri sana ama laaa, au ana tabia njema sana au laa, au mpole na mnyenyekevu sana au laa, au anaheshima sana au laa, ila ninachoweza kusema, hakika amestahili kuwa mke wangu kwa kila hali, na mpaka sasa sijaona bado wa kufanana naye!

Mkuu hilo la Zahra White naliona na watu8 kakaa kimya kama sio yeye vile
Umenena mkuu HorsePower na Mwenyezi Mungu atangulie katika ndoa yako na familia yako yote mema yakapatikane katika maisha yenu na akuepushe kutamani mpango wa kando
 
Last edited by a moderator:
Pombe yenyewe nzuri !
Cha umakini usije tu ukaiongezea maji yakapitiliza !
 
Back
Top Bottom