Najivunia sana! Kuwa na Mke mwenye AKILI...

najivunia mke wangu kuwa na mwili jumba,mbabee kitu kiogo tu anakuja juu,ugovi kidogo tu utaskia atakupasua?NIKIKAA nakunywa bia lazima aje hiyo baa na tifu liibuke anichukue mzoga mzoga,najivunia mke wangu maana hata wadada mtaani wanaogopa kunisalimia maana wanajua shari lake,pia najivunia mke wangu hana adabu kwa wakwe zake na hataki ndugu yoyote si wake au wangu,JAMANII NAJIVUNIA MAMA HAVIJAWA WANGU
 

huyo ni nouma! mwende gym tu. atakuogopa mkuu
 
Samahani kama nitawakwaza.

Huwa siamini kama wanawake wana akili. Wanategemea akili za wanaume ktk kuendesha mambo yao.

Ndio maana wanasema wakiwezeshwa wanaweza.

mke wangu ni watofauti kidogo Mzee!! siyo mpaka nimwezeshe
 
Last edited by a moderator:
Asante mpenzi kwakuona umuhimu wangu na thamani yangu sina mengi yakueleza zaidi ya kusema asante kwa kunipenda kiwatengu your the best lover ever

wife wife! umetoka kwa Mungu wewe!
 
Last edited by a moderator:

Nondo nondo!! jiwe jiwe...
safi sana
 
ya peke yangu itakuwa afadhali,nani uyo yuko available
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…