Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ha ha ha... wanadai ng'ombe hazeeki maini
najivunia mke wangu kuwa na mwili jumba,mbabee kitu kiogo tu anakuja juu,ugovi kidogo tu utaskia atakupasua?NIKIKAA nakunywa bia lazima aje hiyo baa na tifu liibuke anichukue mzoga mzoga,najivunia mke wangu maana hata wadada mtaani wanaogopa kunisalimia maana wanajua shari lake,pia najivunia mke wangu hana adabu kwa wakwe zake na hataki ndugu yoyote si wake au wangu,JAMANII NAJIVUNIA MAMA HAVIJAWA WANGUKupata mke mwenye akili na mwenye kujiheshimu ni jambo la kumshukuru MUNGU!!
Ninafurahia sana kuwa na mke mwenye busara, kujiheshimu kwingi na akili za kutosha!
Kipimo cha haya yote ni jinsi anavyozikabili changamoto za kimaisha na kupambanua mambo kwa utashi mkubwa!
Go on honey! Just Go on!! your Man(me) loves you so much!!
Wenye wake zenu humu..
Mnajivunia nini kwa wake zenu?
kina watu8 Judgement Arushaone, figganigga Filipo Erickb52 Kaizer Mr Rocky Mwanyasi mshana jr....
Na wanaume wengine...
whats up with ur wives?
CC: kwa ba mkwe Asprin
najivunia mke wangu kuwa na mwili jumba,mbabee kitu kiogo tu anakuja juu,ugovi kidogo tu utaskia atakupasua?NIKIKAA nakunywa bia lazima aje hiyo baa na tifu liibuke anichukue mzoga mzoga,najivunia mke wangu maana hata wadada mtaani wanaogopa kunisalimia maana wanajua shari lake,pia najivunia mke wangu hana adabu kwa wakwe zake na hataki ndugu yoyote si wake au wangu,JAMANII NAJIVUNIA MAMA HAVIJAWA WANGU
abee,nimeitwa uku?
wife wife! umetoka kwa Mungu wewe!
Mr Rocky, Zahra White huenda anataka kuvunja ndoa ya watu8!
Tukirudi kwenye mada, sidhani kama nina mengi ya kusema kwa my dearest wife, sina hakika kama ana akili sana kuliko wengine au laa au ni mzuri sana kuliko wengine ama laaa, au ana tabia njema sana kuliko wengine au laa, au mpole na mnyenyekevu sana kuliko wengine au laa, au anaheshima sana kuliko wengine au laa, nk ila ninachoweza kusema, hakika amestahili kuwa mke wangu kwa kila hali, na mpaka sasa sijaona bado wa kufanana naye!
kwa hiyo unahitaji ya kwako peke yako?
kuna mtu hapa!!
ya peke yangu itakuwa afadhali,nani uyo yuko available