Kila la kheri katika kumeneji pesa!
Elimu utayo pata ndyo mataji wako, siyo hiyo hela ya matumizi ukiwa chuoNinapokea boom 595000/=kila baada ya miezi miwili.nina lipwa Ada 225000/=.kwa mwaka. Ada ya Chouo NI 1330000/= kwa mwaka NAOMBENI USHAURI ninawezaje kumeneji hizi fedha ili ninapo maliza chuo niwe na chochote kitu ,nawasikiliza tafadhari!!
Ada inayobaki unalipa mwenyewe kutoka kwenye boom au ?Ninapokea boom 595000/=kila baada ya miezi miwili.nina lipwa Ada 225000/=.kwa mwaka. Ada ya Chouo NI 1330000/= kwa mwaka NAOMBENI USHAURI ninawezaje kumeneji hizi fedha ili ninapo maliza chuo niwe na chochote kitu ,nawasikiliza tafadhari!!
Panga bajeti yako mkuu vzr kwamba kuna Hela ya matumizi,kuna Hela ya mahitaji(Bata,dharura) na kuna Hela ya kuweka akiba .....Hatuwezi kukushauri Sana kwasababu Kila Mtu ana mipango Yake La msingi uwe Hela ya kudundia kitaaa hata vocha n.kNinapokea boom 595000/=kila baada ya miezi miwili.nina lipwa Ada 225000/=.kwa mwaka. Ada ya Chouo NI 1330000/= kwa mwaka NAOMBENI USHAURI ninawezaje kumeneji hizi fedha ili ninapo maliza chuo niwe na chochote kitu ,nawasikiliza tafadhari!!
Shukrani naendelea kujifinzaKwanza kabisa fumba macho na ziepuke anasa vinginevyo hata hiyo inaweza isitoshe ukiingiza anasa.
Pili we n kijana msomi, piga bajeti ya matumizi yako, ukiweza kuishi ndan ya hiyo bajeti kama haitozidi hicho kiasi basi kiasi kinachobaki weka akiba, kafungue akaunti ya mwanafunzi huwa hazina makato uwe unaiweka humo hata kama ni afu 50.
KUMBUKA kununua suruali kabla ya kuhitimu, usiseme hukuambiwa.
Great idea, I appreciate
Kila la heriShukrani naendelea kujifinza