Tumia boom kulipia ada na pamoja na chakula. Halafu tumia field allowance kutimiza malengo yako.Ndiyo
Jifunze skills ambazo ukimaliza chuo itakusave kuanza maisha save pesa jifunze soma mchezo ground pagumu...Ninapokea boom 595000/=kila baada ya miezi miwili.nina lipwa Ada 225000/=.kwa mwaka. Ada ya Chouo NI 1330000/= kwa mwaka NAOMBENI USHAURI ninawezaje kumeneji hizi fedha ili ninapo maliza chuo niwe na chochote kitu ,nawasikiliza tafadhari!!
Tumia mda wako chuo vizuri...Ninapokea boom 595000/=kila baada ya miezi miwili.nina lipwa Ada 225000/=.kwa mwaka. Ada ya Chouo NI 1330000/= kwa mwaka NAOMBENI USHAURI ninawezaje kumeneji hizi fedha ili ninapo maliza chuo niwe na chochote kitu ,nawasikiliza tafadhari!!
hakuna boom hlo boom ni 620000 kwa first year na 600000 kuanzia second year had unamalizaKwanza boom ni 640,000 kwa kiwango mnachopokea hivi sasa? Tukiachana na hilo we ni msomi ingia mtandaoni tafuta BUDGETING APPS Zipo nyingi tuu utachagua utakayopendezwa nayo
Sawahakuna boom hlo boom ni 620000 kwa first year na 600000 kuanzia second year had unamaliza
Mwambie mzazi au mlezi alipe ada ili ubakiwe na pesaNinapokea boom 595000/=kila baada ya miezi miwili.nina lipwa Ada 225000/=.kwa mwaka. Ada ya Chouo NI 1330000/= kwa mwaka NAOMBENI USHAURI ninawezaje kumeneji hizi fedha ili ninapo maliza chuo niwe na chochote kitu ,nawasikiliza tafadhari!!