Najua kuna watakaonicheka kuwa mimi ni mzembe lakini muda mwingine inahitajika kupumzika

Hiii Ni ile chai isiokuwa na majani ! Ile unakaanga sukari inakua nyeusi unaweka maji chai tayari !!!!! Watoto wa ushuani hawawezi kuelewa
Nilivyosoma, hii nimejikuta nacheka Sana, maana umenikumbusha mbali Sana.
 
Jamiiforum ni raha sana unaweza kuwa na stress bt ukija huku unajiona upo dunia nyingine kabisa kwa vicheko bt Hongera Mr Pompeo pia mjitahidi mumruhusu bwana yule mliyempga ban nchini kwenu aje kutembelea huko ili aondoe stress za kukatwa
Hadi huku marekani wajumbe wapo
 
Hivi nyie wanaume kinachowashinda kutulia na mtu mmoja n nn[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
 
mmefunga shule mwanangu?? maana shule zilivyofunguliwa baada ya corona wewe na bia yetu mkapotea na inaonekana mlirudi shule,
 
Acha uongo!! dusheleleee halinaga hizo likipata kitu kipya lazima linaanza moja upyaaaaaa!! km silenyewe yaani kidem kipya kikijichesha tuuuu!! kitu hikooooooooo!

halafu wadada punguzeni uchawi, me asipofanya hamji kamwee!! ... akimfanya mtu mmoja mnaunga tela! ndo mganga wenu anavo sema!
 
mm demu akiniambia anachukua ndomu stimu zinakata waya,,hamna kitu apo sitak kuchosha mwili wangu bure nanijua nachukuaga muda mrefu kupiz asa nikiweka ndomu ndo sijui masaa mangap apo bora nikae kimya na kunyuti tu kitandani..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…