GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Sikuwahi kujua GAMOND ni katili kiasi hiki..Najua Usiku huu au Kesho ns haitofika Jumanne Simba SC itaachana rasmi na Kocha wake Mkuu Roberto Oliviera kupitia Tangazo ( Taarifa kwa Umma )
Timu itakuwa chini ya Makocha Wazawa Wawili ( wenye Vyeti na Sifa zinazotakiwa na CAF ) na Kozi muhimu za TFF ameshiriki huku taratibu ikimtafuta Kocha Mkuu mpya ambaye anaweza kuwa ni Nabi ( Tunisia ) au Ibenge ( Congo DR ) au Ndayiragije ( Burundi )
GENTAMYCINE naomba nyote mliokaa Kikao cha Siri hapo Posta ( Hoteli yenye Hadhi ) mkimaliza Kikao nanyi pia muondoke ndani ya Simba SC kama mnavyomfukuza Kocha Mkuu Mbrazili Roberto / Robertinho.
Hili halina mjadala, wamuombe Gamondi awatafutie kocha.Mungu wangu! yanga tumemponza kocha wao
Bado una wenge, kunywa maji kisha lala kwanza asubuhi utakuwa upo sawa tu. Nabi ni kocha wa Far Rabat mnao ubavu wa kuvunja mkataba wake? Mnao uwezo wa kumlipa mshahara kama anaolipwa huko?Najua Usiku huu au Kesho ns haitofika Jumanne Simba SC itaachana rasmi na Kocha wake Mkuu Roberto Oliviera kupitia Tangazo ( Taarifa kwa Umma )
Timu itakuwa chini ya Makocha Wazawa Wawili ( wenye Vyeti na Sifa zinazotakiwa na CAF ) na Kozi muhimu za TFF ameshiriki huku taratibu ikimtafuta Kocha Mkuu mpya ambaye anaweza kuwa ni Nabi ( Tunisia ) au Ibenge ( Congo DR ) au Ndayiragije ( Burundi )
GENTAMYCINE naomba nyote mliokaa Kikao cha Siri hapo Posta ( Hoteli yenye Hadhi ) mkimaliza Kikao nanyi pia muondoke ndani ya Simba SC kama mnavyomfukuza Kocha Mkuu Mbrazili Roberto / Robertinho.
Yaleyale ya kukariri kama kumrudisha Miqueson..Nabi wa nini ambaye kashafundisha kwa mtani wako kumrudisha kwenye Ligii??Nasikia viongozi wa Simba wanamtaka Nabi...
πππ