Najua kwa sasa mmejifungia Kikaoni Hotelini Posta ili Kumfuta Kazi Kocha Mkuu, ila hata nyie hatuwataki tena SSC

Nakuona Kilaza Fc katika ubora wako wa kila siku....hii kazi unaiweza sana mr kilaza(akili mbili fc)
Pole sana Mama, agiza kinywaji chochote ulipo kisha nitumie AC no nikuwezeshe muhamala Mtani 😁
 
Najua Usiku huu au Kesho na haitofika Jumanne Simba SC itaachana rasmi na Kocha wake Mkuu Roberto Oliviera kupitia Tangazo ( Taarifa kwa Umma )

Timu itakuwa chini ya Makocha Wazawa Wawili ( wenye Vyeti na Sifa zinazotakiwa na CAF ) na Kozi muhimu za TFF ameshiriki huku taratibu ikimtafuta Kocha Mkuu mpya ambaye anaweza kuwa ni Nabi ( Tunisia ) au Ibenge ( Congo DR ) au Ndayiragije ( Burundi )

GENTAMYCINE naomba nyote mliokaa Kikao cha Siri hapo Posta ( Hoteli yenye Hadhi ) mkimaliza Kikao nanyi pia muondoke ndani ya Simba SC kama mnavyomfukuza Kocha Mkuu Mbrazili Roberto / Robertinho.
Mna hela ya kumleta Nabi nyie? labda Nabii mashimo
 
Hata Mo energy asepe zake, utapeli tapeli Tu.Anaitumia team kama platform ya kupromote products zake,anaendesha team kubwa Kwa style za kizamani...Toka lini team ikaendeshwa Kwa endorsement account...😔
 
🤣 🤣 🐸 🐸 🐸 🐸
View attachment 2805533
Unaendeleaje rafiki yangu?

Maumivu yamepungua? 😁😁😁

Screenshot_20231106_171542_Instagram Lite.jpg
 
Kumfukuza kocha mnaempangia wachezaji wa kucheza ni kumuonea.
 
Najua Usiku huu au Kesho na haitofika Jumanne Simba SC itaachana rasmi na Kocha wake Mkuu Roberto Oliviera kupitia Tangazo ( Taarifa kwa Umma )

Timu itakuwa chini ya Makocha Wazawa Wawili ( wenye Vyeti na Sifa zinazotakiwa na CAF ) na Kozi muhimu za TFF ameshiriki huku taratibu ikimtafuta Kocha Mkuu mpya ambaye anaweza kuwa ni Nabi ( Tunisia ) au Ibenge ( Congo DR ) au Ndayiragije ( Burundi )

GENTAMYCINE naomba nyote mliokaa Kikao cha Siri hapo Posta ( Hoteli yenye Hadhi ) mkimaliza Kikao nanyi pia muondoke ndani ya Simba SC kama mnavyomfukuza Kocha Mkuu Mbrazili Roberto / Robertinho.
Umepiga ikulu.
 
Ilikuwa haihitaji akili nyingi kubaini kuwa Simba inaenda kumfukuza kocha
 
Back
Top Bottom