Yaani kumfunga mechi 1 tu ndio mnamfukuza, mbona Manchester united ilipigwa 6 - 1 na man city na walimvumilia sir AlexMungu wangu! Yanga tumemponza kocha wao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani kumfunga mechi 1 tu ndio mnamfukuza, mbona Manchester united ilipigwa 6 - 1 na man city na walimvumilia sir AlexMungu wangu! Yanga tumemponza kocha wao
Kwa jibu hili ni wazi maumivu bado yapo. Polepole yataisha tu best. Time heals almost everything; and khamsa syndrome is not an exception! 😁😁😁🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🖐Sina maumivu..kama yenu ya kufungwa na Ihefu...na zile 6 kwa sufuri za kipindi kile yaliisha...mimi ni nani yasiishe???
😊 😊 😊 🐸
Usinilazimishe kuumia best...ni uchawi kutaka kuona mtu aumie wakati haumiiKwa jibu hili ni wazi maumivu bado yapo. Polepole yataisha tu best. Time heals almost everything; and khamsa syndrome is not an exception! 😁😁😁🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🖐
View attachment 2806825
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!Hahaha mkeka umetiki.. Respect
Endeleeni tu kunichukulia Poa hapa JF.Kwa kweli hua analeta info nyingi tu za uhakika
Jiandae kuambiwa hii ID yako ni yangu Mimi GENTAMYCINE na hapa nimejipakulia Minyama ( Nimejisifia ) tu Mkuu sawa?One of the best katika soka la Tz Ni Genta
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!Watakukoma mwaka huu na hivyo leo mkeka umetiki... 😀 😀 😀 😀 😀
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!Umepiga ikulu.
The one and only...Charismatic Fella[emoji3]Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!
Haters na Hypocrites utawajua tu. Hivi mwaka Jana Klabu ya Yanga SC chini ya Kocha Nabi ilipofanya vibaya Mechi za Kimataifa mpaka Mashabiki na Wanachama wakataka Ajiuzuru au Aondoke huku Wachambuzi na Waandishi wa Habari wakibashiri kuwa atafungashiwa Virago ( Atafukuzwa ) na kila Mtu aliamini hivyo je, alifukuzwa?Ilikuwa haihitaji akili nyingi kubaini kuwa Simba inaenda kumfukuza kocha
Ukitoa matusi plus majivuno, kiburi na dharau jamaa anapata sana taarifa nyeti kuhusu soka la nchi hii! Inawezeka kuna waandishi wanaiba taarifa zake huku!Hahaha mkeka umetiki.. Respect
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!Viongozi wa Simba walipita kwanza hapa JF, wakasoma forecast ya Gentamycine, kisha waenda kuyakopi na kupaste.
Punguza chuki na roho mbaya, jamaa alisema wamejifungia Posta, tuambie wewe walijifungia wapi? Roho mbaya kama kutu!KUMFUKUZA ROBERTINHO ILIKUWA LAZIMA
Mkiambiwa nijengeeni Sanamu langu GENTAMYCINE hapa Jamiiforums msiwe na Wivu, Chuki nami na Kunikatalia sawa?Jamaa alitasema
Asante sana kwa Kuninyooshea huyo damn Fool and a Hypocrite Mkuu.Punguza chuki na roho mbaya, jamaa alisema wamejifungia Posta, tuambie wewe walijifungia wapi? Roho mbaya kama kutu!
Chukua hi rasmi leo kuwa 97% ya Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania, Wachambuzi, Watangazaji na Sports Bloggers 24/7 wananisoma GENTAMYCINE hapa Jamiiforums na Kuchukua Taarifa na Chambuzi mbalimbali za Michezo na Kuzitumia.Ukitoa matusi plus majivuno, kiburi na dharau jamaa anapata sana taarifa nyeti kuhusu soka la nchi hii! Inawezeka kuna waandishi wanaiba taarifa zake huku!