CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
Ukitoa kufungwa na Yanga, naomba sababu kuu tatu zilizokuwa za lazima kocha afukuzwe!
Wamemuangushia Jumba la Lawama Robert viongozi wa simba hawana akili.
Amefukuzwa kwa sababu.
1. Matokeo ya timu kwenye michezo ya kimataifa yalikuwa mabovu.
2. Mpira wa Robertinho ulikuwa mbovu mno, fittness level ya wachezaji ilikuwa chini sana .
3. Brazil haijawahi kuwa na kocha mzuri miaka yote.
4. Kufungwa na Mtani Goli 5 ni goli nyingi mno.