Najua kwa sasa mmejifungia Kikaoni Hotelini Posta ili Kumfuta Kazi Kocha Mkuu, ila hata nyie hatuwataki tena SSC

Najua kwa sasa mmejifungia Kikaoni Hotelini Posta ili Kumfuta Kazi Kocha Mkuu, ila hata nyie hatuwataki tena SSC

Ukitoa kufungwa na Yanga, naomba sababu kuu tatu zilizokuwa za lazima kocha afukuzwe!

Wamemuangushia Jumba la Lawama Robert viongozi wa simba hawana akili.

Amefukuzwa kwa sababu.
1. Matokeo ya timu kwenye michezo ya kimataifa yalikuwa mabovu.

2. Mpira wa Robertinho ulikuwa mbovu mno, fittness level ya wachezaji ilikuwa chini sana .

3. Brazil haijawahi kuwa na kocha mzuri miaka yote.

4. Kufungwa na Mtani Goli 5 ni goli nyingi mno.
 
Hapo katika wote uliowataja hakuna kocha wa kuifundisha simba hapo ibenge mpira wake bahati bahati tu makocha wapo kibao huko hawana team. M
 
Back
Top Bottom