GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #101
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!Kanapenda sifa haka kajitu swala la Robertinho lilikua wazi ilikua ni mda tu ufike hata mimi ningeweza kutabiri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!Kanapenda sifa haka kajitu swala la Robertinho lilikua wazi ilikua ni mda tu ufike hata mimi ningeweza kutabiri
Acha ushamba na uswahili kaanzishe uzi wako sawa dogoPosta gani??
Hoteli gani????
Mtaa gani????
Viongozi gani???
Wakiwa wangapi???
Majina yao akina nani??
Usilete ubashiri kwenye masuala ya soka.
Ilikuwa lazima Robertinho atimuliwe labda ni mtoto tu dio asingeweza kulijua hilo.
Mkuu vijana wa Facebook wanakuibia content zakoNajua Usiku huu au Kesho na haitofika Jumanne Simba SC itaachana rasmi na Kocha wake Mkuu Roberto Oliviera kupitia Tangazo ( Taarifa kwa Umma )
Timu itakuwa chini ya Makocha Wazawa Wawili ( wenye Vyeti na Sifa zinazotakiwa na CAF ) na Kozi muhimu za TFF ameshiriki huku taratibu ikimtafuta Kocha Mkuu mpya ambaye anaweza kuwa ni Nabi ( Tunisia ) au Ibenge ( Congo DR ) au Ndayiragije ( Burundi )
GENTAMYCINE naomba nyote mliokaa Kikao cha Siri hapo Posta ( Hoteli yenye Hadhi ) mkimaliza Kikao nanyi pia muondoke ndani ya Simba SC kama mnavyomfukuza Kocha Mkuu Mbrazili Roberto / Robertinho.
Wakizidisha kumsimanga anapambana nao kwa matusi makali makali halafu yeye ndo huwa anaishia kulimwa ban. Mods ni kama vile walishamjulia yaani. Na haters wake huwa hawamuachi ndo maana karibu kila uzi atakaoanzisha ni lazima tu utakuwa na hekaheka kwa sababu ni lazima haters waje kumzodoa. Ni burudani tosha 😁😁😁😂😂😂😂
Huwa napenda namna anasimangwa na wana halafu yeye wala hana habari anajibu zake, 'Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King'..!!
Wapo wengi wanaokuamini mkuu. Wachache tu ndo wanapingana na wwEndeleeni tu kunichukulia Poa hapa JF.
Bro hata wewe unaweza kutabiri.Acha ushamba na uswahili kaanzishe uzi wako sawa dogo
Sawa mkuu ngoja tusubiri hizo exclusive zingine.Haters na Hypocrites utawajua tu. Hivi mwaka Jana Klabu ya Yanga SC chini ya Kocha Nabi ilipofanya vibaya Mechi za Kimataifa mpaka Mashabiki na Wanachama wakataka Ajiuzuru au Aondoke huku Wachambuzi na Waandishi wa Habari wakibashiri kuwa atafungashiwa Virago ( Atafukuzwa ) na kila Mtu aliamini hivyo je, alifukuzwa?
Kilichokuumiza ni kuona GENTAMYCINE kaja na Taarifa ya uhakika na niliyojiamini nayo 100% kutokana na Vyanzo vyangu na hatimaye leo Jumanne ( kama nilivyoitabiri ) kile nilichokileta hapa Kimetimia.
Kwani mkikubali tu kuwa GENTAMYCINE ndiyo Mfalme wa Habari za uhakika za Michezo na Masuala Mtambuka ya Kijamii ( katika Jamii ) mnapu gukiwa na nini? Wivu wenu juu yangu utawapelekeni Motoni.
Na kwa Jeuri, Nyodo na Kujiamini nakuja na Exclusive Info nyingine ya Mpira itokanayo na Derby ya Juzi muda si mrefu hapa hapa Jamiiforums na hakuna Mtu Mwingine yoyote yule anayo au anayoijua zaidi yangu Mimi tu.
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!
Hebu nitajie niwajue tafadhali Mkuu.Mkuu vijana wa Facebook wanakuibia content zako
Kuna jamaa ana page yake anakukopi ana paste fbHebu nitajie niwajue tafadhali Mkuu.
Niliwahi ona pia ila jina sikumbukiKuna jamaa ana page yake anakukopi ana paste fb
Mie baada ya kumwambia ukweli leo kanibloku huyo jamaa wa Facebook ni mwizi kabisaNiliwahi ona pia ila jina sikumbuki
Ukitoa kufungwa na Yanga, naomba sababu kuu tatu zilizokuwa za lazima kocha afukuzwe!Ilikuwa lazima Robertinho atimuliwe labda ni mtoto tu dio asingeweza kulijua hilo.
Lazima akublock unataka kutilia mchanga kitumbua chakeMie baada ya kumwambia ukweli leo kanibloku huyo jamaa wa Facebook ni mwizi kabisa
Niliwahi kukutana na habari mtandao mwingine yani ni C& P ya huyu jamaa.Ukitoa matusi plus majivuno, kiburi na dharau jamaa anapata sana taarifa nyeti kuhusu soka la nchi hii! Inawezeka kuna waandishi wanaiba taarifa zake huku!