Alaah kumbe, kwani saint gaucho hajawahi fanya hayo? Mbona hata minjino kafanya maajabu ambayo yamebaki historia hadi leo.Tafuta clip zao, utaona neymar ni ana skills za hatari, shida tu alizidisha show game, anaweza simamisha ball ili ampige mtu kanzu au tobo, akili za neymar ni kama okocha tu
Gaucho vingi kafanya kwa manufaa ya timu, neymar ni kwa burudani, mfano mdogo lile goli vs chelsea, alifanya mbwembwe na ikawa goli hapo kafanya decoration kwenye basic, neymaf alikuwa na deckrations ambazo zinauwa basicAlaah kumbe, kwani saint gaucho hajawahi fanya hayo? Mbona hata minjino kafanya maajabu ambayo yamebaki historia hadi leo.
Messi yupi?This kid kila siku nikimuangalia nabaki mdomo wazi tu the way he is toying defenders
Vission + composure 💯
Akiamua kuchukua kijiji anachukua vizuri skills yupo 🔥
Anaponichosha anaweza piga pass hatari akiwa sehemu yoyote ya uwanjaView attachment 3571252
Yaan sijui hata utofauti wake ukoje. Manufaa ya team na binafsi? How??Gaucho vingi kafanya kwa manufaa ya timu, neymar ni kwa burudani, mfano mdogo lile goli vs chelsea, alifanya mbwembwe na ikawa goli hapo kafanya decoration kwenye basic, neymaf alikuwa na deckrations ambazo zinauwa basic
We huwezi nielewa kamwe, ilipaswa uwe karibu nikueleweshe na MAKONZIYaan sijui hata utofauti wake ukoje. Manufaa ya team na binafsi? How??
Kiukweli naona Neymar ndio alikua anajifunza kwa Gaucho na hakuweza badoo.
Kwenu mnapiga watoto wa kike mkuu??We huwezi nielewa kamwe, ilipaswa uwe karibu nikueleweshe na MAKONZI
Makonzi sio kipigo, tuna ushtua ubongoKwenu mnapiga watoto wa kike mkuu??
Aah sawa sawa mkuuMakonzi sio kipigo, tuna ushtua ubongo
[emoji23][emoji23][emoji23] em tuache hiyo binafsi na manufaa ya team, si ni kwamba hao wote walifanya maajabu yanayofanana au?We huwezi nielewa kamwe, ilipaswa uwe karibu nikueleweshe na MAKONZI
Kwani kwenu watoto wa kike hawapigwiii??Kwenu mnapiga watoto wa kike mkuu??
Hawapigwi kabisaKwani kwenu watoto wa kike hawapigwiii??
Nakwambia wewe mpaka tushitue ubongo ma KONZI lile la kulamba unaunganisha na mchamga[emoji23][emoji23][emoji23] em tuache hiyo binafsi na manufaa ya team, si ni kwamba hao wote walifanya maajabu yanayofanana au?
Makubwaaa!! Hatarii sanaa.Hawapigwi kabisa
Nisaidie kushare, [emoji23][emoji23][emoji23]Nakwambia wewe mpaka tushitue ubongo ma KONZI lile la kulamba unaunganisha na mchamga
kimafanikio kuanzia makombe mpaka tuzo binafsi gaucho yuko mbele ya neymar.
Kifupi neymar ni nzi, angetuliza akili kidogo nae angetengeneza asali.
Hebu katafute video za skills za neymar na gaucho ndio utajua nani ana skills zaidi ya mwenzie
Sogea hapa nikukoleze konzi kwanzaNisaidie kushare, [emoji23][emoji23][emoji23]
Maana mie nazoziona, naona km Neymar ndo anamfuata Gaucho kwa mbaliii.
Khaaah!!Sogea hapa nikukoleze konzi kwanza
Kheeeee!!Khaaah!!