Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Barikiwa kwa jibu zuri,Kama ni Mkristo, ipime kwa maandiko, yaani biblia. Kama inaendana na vile neno linasema basi ni ya kweli. Ikiwa inakinzana na biblia, si ya kweli.
Nilitaka nikuite, kumbe ushafika mda.Imani ni kamari
Ikishaitwa imani basi moja kwa moja ujue hiyo ni kamari.
Usipotumia logic kupima imani utajikuta umeingia kwenye kamari ambapo itakulazimu upitie flow iliyowekwa na game master wa hiyo kamari.
Kwenye kamari ni ngumu sana kujua ukweli ukiwa katikati ya mchezo, ni mpaka mchezo uishe ndio utajua.
Kwenye imani watu wengi wanajikuta wanaamini kikondoo kwasababu hawakutanguliza logic na kufanya reasoning
Na ndio maana ni ngumu kuufikia ukweli ambao unapatikana mwishoni mwa mchezo kwenye hiyo imani.
Hiyo inatokana na ujanja aliotumia game master kuweka kifo kama ndio eneo la mwisho katika huo mchezo.
Hivyo kafanya ionekane kuwa ili uweze kujua hii kamari ya imani ni ukweli au ni uongo wa basi itakubidi mpaka ufe ili uthibitishe kuwa hakuna pepo wala moto.
Na kwa bahati mbaya hiyo fursa huwezi kuipata na ndio hapo anapowakamatia.
Ipime kwa logical consistency na observation.Eti wakuu?
Majibu yawe mafupimafupi
ππππImani ni kamari
Ikishaitwa imani basi moja kwa moja ujue hiyo ni kamari.
Usipotumia logic kupima imani utajikuta umeingia kwenye kamari ambapo itakulazimu upitie flow iliyowekwa na game master wa hiyo kamari.
Kwenye kamari ni ngumu sana kujua ukweli ukiwa katikati ya mchezo, ni mpaka mchezo uishe ndio utajua.
Kwenye imani watu wengi wanajikuta wanaamini kikondoo kwasababu hawakutanguliza logic na kufanya reasoning
Na ndio maana ni ngumu kuufikia ukweli ambao unapatikana mwishoni mwa mchezo kwenye hiyo imani.
Hiyo inatokana na ujanja aliotumia game master kuweka kifo kama ndio eneo la mwisho katika huo mchezo.
Hivyo kafanya ionekane kuwa ili uweze kujua hii kamari ya imani ni ukweli au ni uongo wa basi itakubidi mpaka ufe ili uthibitishe kuwa hakuna pepo wala moto.
Na kwa bahati mbaya hiyo fursa huwezi kuipata na ndio hapo anapowakamatia.
daah hayaIman ni imani tu haina uhusiano na ukwel ama uongo.
Biblia yenyewe inakinzana (contradictory).Kama ni Mkristo, ipime kwa maandiko, yaani biblia. Kama inaendana na vile neno linasema basi ni ya kweli. Ikiwa inakinzana na biblia, si ya kweli.