Najuaje kama imani ninayoifuata ni ya ukweli?

Kama inakupa amani na kutafsiri Yale ambayo hali ya kawaida haiwezi kutafsiri
 
Kama ni Mkristo, ipime kwa maandiko, yaani biblia. Kama inaendana na vile neno linasema basi ni ya kweli. Ikiwa inakinzana na biblia, si ya kweli.
 
Wewe ni kanisa na unaweza kufanya ukanishanaji kwa kutoa misaada tosha
 
Imani iendane na kanuni za maumbile...
 
Hakuna Imani ya kweli hapa duniani zote zipo kiaina tu.

Jambo la msingi angalia mienendo ya hapo ulipo na maelekezo ya kitabu (Bibilia)

Yaani hicho kitabu ndiyo mwisho wa wahuni na tra wa maandiko
.
 
Imani ni kamari

Ikishaitwa imani basi moja kwa moja ujue hiyo ni kamari.

Usipotumia logic kupima imani utajikuta umeingia kwenye kamari ambapo itakulazimu upitie flow iliyowekwa na game master wa hiyo kamari.

Kwenye kamari ni ngumu sana kujua ukweli ukiwa katikati ya mchezo, ni mpaka mchezo uishe ndio utajua.

Kwenye imani watu wengi wanajikuta wanaamini kikondoo kwasababu hawakutanguliza logic na kufanya reasoning

Na ndio maana ni ngumu kuufikia ukweli ambao unapatikana mwishoni mwa mchezo kwenye hiyo imani.

Hiyo inatokana na ujanja aliotumia game master kuweka kifo kama ndio eneo la mwisho katika huo mchezo.

Hivyo kafanya ionekane kuwa ili uweze kujua hii kamari ya imani ni ukweli au ni uongo wa basi itakubidi mpaka ufe ili uthibitishe kuwa hakuna pepo wala moto.

Na kwa bahati mbaya hiyo fursa huwezi kuipata na ndio hapo anapowakamatia.
 
Nilitaka nikuite, kumbe ushafika mda.
 
Imani huja kwa kusikia, jaribu kuchunguza hiyo sauti kama ni sahihi, ikiwa ndiyo sahihi imani yako ni ya kweli
 
Imani ni kamari

Ikishaitwa imani basi moja kwa moja ujue hiyo ni kamari.

Usipotumia logic kupima imani utajikuta umeingia kwenye kamari ambapo itakulazimu upitie flow iliyowekwa na game master wa hiyo kamari.

Kwenye kamari ni ngumu sana kujua ukweli ukiwa katikati ya mchezo, ni mpaka mchezo uishe ndio utajua.

Kwenye imani watu wengi wanajikuta wanaamini kikondoo kwasababu hawakutanguliza logic na kufanya reasoning

Na ndio maana ni ngumu kuufikia ukweli ambao unapatikana mwishoni mwa mchezo kwenye hiyo imani.

Hiyo inatokana na ujanja aliotumia game master kuweka kifo kama ndio eneo la mwisho katika huo mchezo.

Hivyo kafanya ionekane kuwa ili uweze kujua hii kamari ya imani ni ukweli au ni uongo wa basi itakubidi mpaka ufe ili uthibitishe kuwa hakuna pepo wala moto.

Na kwa bahati mbaya hiyo fursa huwezi kuipata na ndio hapo anapowakamatia.
👍👍👍👍
 
Imani iko juu ya mgongo wa mambo usio kua nauhakika nayo. Yani kilicho ibeba imani nikutokua nauhakika.
Hivo unaumiza sana saikolojia zawatu kwakua unauliza swali ambalo hakuna atakae kupa uhakika wa majibu kwanamna sahihi unavyo taka wewe🙏
 
Kama inakupa majibu ya maswali yote uliyonayo
 
Dini zote duniani hapa zipo sahihi kwakua mungu wao wanae muamini ana solve matatizo yao nachangamoto zinazo wakabili.nandio maana hadi leo bado wako naimani hiyo tokea kizazi nakizazi nyuma.
Hivo basi na ikitokea kuna mungu ambae anaitwa ndio sahihi wakutoka upande wa dini flani basi amini hakuna atakae msontea kidole mwingine kwakua wote walikua wana tunzwa,nakuhifadhiwa na mungu huyo,huyo mmoja.
 
Back
Top Bottom