Najuta kuangalia SMS za mpenzi wangu

Ninaweza kukaa hata mwaka bila mahusiano.. lkn kuna kuchakata papuchi siku mambo yakipanda unatumia resources nyingi kusaka papuchi. Pia kuna age hii ya utafutaji ,mambo yakiwa magumu unahitaji mtu wa kukupoza na hasira za hii nchi .
Sawa.
 
Mkuj ulishawahi kuwa single hata kwa mwezi ukaona mambo yanavyokua magumu.. sasa hivi ninapitia mambo magumu kimaisha.. nikikosa na papuchi hata mara 1 kwa week ninaweza kuchanganyikiwa mkuu.. sio kwamba napenda kushare na mtu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23]

We jamaa bana
 
Hehehehe...tafuta hela asee ( huyu ndo mkombozi wako)
Niko kwenye process ya kutatufa. Bado sijafanikiwa lakini maisha ni safari. Ni wachache wenye privilege ya kuzaliwa wakakuta pesa kwao ipo.. wengine tuaitafuta na ndicho ninachokifanya sasa hivi.. natafuta HELA
 
Kabla ya week ijayo kuisha tayari nitakua na backup ya uhakika.. na this time sitakua faithful tena kwa mwanamke yyte..
Wewe usitake kuumiza watoto wa watu sasa kwa ajili ya huyo mshenzi wako aliyekuzingua[emoji57][emoji57]
 
Una uhakika gan utakaye mpata atakua wako peke yako [emoji2376]? Tena pengine labd utaenda sehemu mbaya zaid ya ulipo [emoji3526]

Fikiri kabla ya kutenda [emoji2151] acha kukurupuka
Word [emoji848]
 
Mie nakwambia ukweli wa mambo hamna mbususu yako peke yako.
Sii wana kale kamsemo kao ...usipokuwa na hela pisi kali utaishi kuwaita mashemeji....hiyo ni dhahiri kiwa mbususu zao zinapelekwa kwa highest bidder
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe usitake kuumiza watoto wa watu sasa kwa ajili ya huyo mshenzi wako aliyekuzingua[emoji57][emoji57]
Si hapo juu tu umetoka kukubaliana na mtu kwamba hakuna mwanaume/mwanamke wa peke yako.. na mimi sitaki kuwanyima fursa ya kuwa na mwanaume wa peke yake.
 
Haaahaaaa[emoji38][emoji1787]
 
Una miez nae miwil...unahis kabla yako hakua na mtu?..amekupa nafas anakuchekecha kama uko real au mawew utakula utaacha..so hawez gafla kumuacha aliekua nae..so we mpe muda na kama unamwelewa mwonyeshe mapenz..atamuacha tu huyo mtu...mdo scenario hzo zilivyo....

Ni sawa umetongoza dem kakukubalia..then unaanza mchunguza kama ameshawai kuwa na mtu..hahahah..ujinga..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 

Attachments

  • IMG_1631.MP4
    5.3 MB
We mchane tu kua ulikagua simu yake na unajua kila kitu,kama anakupenda atabadilika na kama ataendelea itabidi ujiongeze mkuu
 
We mchane tu kua ulikagua simu yake na unajua kila kitu,kama anakupenda atabadilika na kama ataendelea itabidi ujiongeze mkuu
Leo namchana mkuu..
 
Reactions: mcj
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…