Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Njia pekee ya hili tatizo ni kuoa bikira
Hata huyo siku akijakujua unachepuka na yeye ataanza kuchepuka kwa taarifa yako [emoji108]
Kwa hiyo labda uishi naye kwa akili na uaminifu kinyume na hapo nawajua waloolewa wakiwa bikira hawajawahi kulalwa na Mwanaume lakini baada ya kuja kuwa disappointed na waume zao kwenye ndoa walianza kujiongeza [emoji108]