Najuta kuangalia SMS za mpenzi wangu

Najuta kuangalia SMS za mpenzi wangu

Habari wakuu.
Mimi ni mtu mkimya sana kitaa sina hata marafiki wengi. So mambo mengi yanayotokea huwa nasolve mwenyewe tu na mara nyingi yanaisha.. lakini hili naona limenikaa sana na sina wa kumwambia akanielewa. So naona ni bora niliweke hapa. Lengo sio kuomba ushauri wa mtu.. leo ni kushare tu ili linitoke kifuani.

Ilikua mwanzo kabisa wa mwaka huu kama tar 3 hivi nilikua na huyu dada room ,tuna mahusuano kama ya miezi miwili... alikua ameeenda bafuni kuoga baada ya mechi.

Basi sijui ni nini kikanituma nicheki simu yake. Nikafungua whatsapp nikaona anachat na watu wengi tu. Nikaona kawaida.
Nikaenda kwenye Txt za kawaida nikakuta kuna watu anachati nao wengi tu. Lakini jina moja nikalistukia. Nikafungua charts zake.

Nikakuta last text ina kama siku 4 inamuuliza kama ataenda kulala kwake.. inaonekana walikua wanaongea sana zaidi ya kuchart.

Basi nikazima simu nikairudisha tu.. alipotoka chooni sikumwambia kitu.. kwa hasira nikampiga bao zangu kama 4 akaondoka kwao. Kama baada ya siku 3 nikamuuliza kama ana mtu yyte either kama ni mpya au wakati tunaingia kwenye mahusiano alikuepo..
Alikana kata kata akasema niko peke yangu. Basi nikamwambia kama kuna mtu yyte afanye aachane nae.

Jana hali ya hewa haikua nzuri sana kukaa peke yako.. nilimuita ili tushinde wote. Alikuja bila pingamizi. Basi kama kawaida alipoenda bafuni kuoga nikasema nicheki kama kaachana na jamaa ake.

Nimeingia kucheki Txt nakuta katika kuchart nae jana hio hio.. tena wanaitana 'babe'
Na jamaa alikua anamuuliza tena kama ataenda kulala kwake.. mimi huwa ni mtulivu sana na sipendi kufanya maamuzi ya haraka.. nilirudisha simu yake , wala sikureact hata kidogo. Usiku nimemsindikiza hadi kwao.

Sasa hapa niko nawaza nifanye nini.? Nikisema nimuache hapa mimi ndio nitapoteza sana.. maana mimi ss hivi nipo kipindi ambacho siku stable sana kwenye nyanja nyingi za kimaisha. Hivyo sina muda wa kutafuta dem mwingine.

Huyu manzi ananipa papuchi kila ninapohitaji. Hanaga kipingamizi chochote.. lkn tatizo ni magonjwa na kinyaa cha kujua dem analiwa na mtu mwingine.

Hapa bado nipo kwenye dilemma nashindwa nifanye nini. ..
Na nnajuta kuangalia sms zake..
Nawaasa wanaume wenzangu. Kama dem hutaki kumuoa usiangalie sms zake wala kugusa simu yake.. unajitafutia presha za bure..
Sasa usipoangalia utajuaje?
na kutotaka kujua hapo kuna mawili, mosi kama hupigiwi hakiharibiki kitu pili kama unapigiwa na hutaki kujua ufala unaanzia hapo.
 
Ndugu muanzisha uzi.. kinachokutesa zaidi hapo ni maumivu ya kuachana na uyo manzi. Yaan unataman muachane halaf muendelee kuwa marafiki au https://jamii.app/JFUserGuide budddies kwa vile anakupa kipochi mavuz cha bure. Anafanya ivyo kwa wengi na sio uyo jamaa tu. Kubali kuumia ila tafuta amani ya moyo wako. Sawa haukl vzur kimaisha ila itakuaje uktumia mda huu kusoma vtabu vya maisha na maendeleo. Kula vzuri kujiweka fiti (gym) kuchek soka nk... fanya mambo ambayo unapenda kusukuma mda. N kile utachofany ndani ya mda wa upweke ndo kitadetermine demu anayekuja atakutreat vip. Trust me bro ukiendelea kufany mambo yaleyale usitegemee results tofauti.. kataa kuwa mtumwa wa papuchi. Jiendeleze. Utakuja mshukuru uyo demu kwa drama had ukamuacha
 
Endelea kumla lakini usiwe na malengo nae at the same time tafuta Manzi mwingine Ambaye utamuandaa kwaajili ya future yenu ,
 
Nikivuta picha na mambo anayonipa eti na jamaa mwingine anapewa hivyo hivyo.. napata hasira natamani hata kulia.
[emoji16][emoji16][emoji16]acha ujinga wewe ,, una umri gani tuanzie hapo kwanza
 
Natafuta dem mwingine.. nikipata tu huyu napiga chini siku hio hio.
Usimpige chini Wanaume kwetu mwiko kukataa papuchi ila mtoe katika nafasi ya kuwa 1st priority then Mfanye awe mchepuko
 
Mkuj ulishawahi kuwa single hata kwa mwezi ukaona mambo yanavyokua magumu.. sasa hivi ninapitia mambo magumu kimaisha.. nikikosa na papuchi hata mara 1 kwa week ninaweza kuchanganyikiwa mkuu.. sio kwamba napenda kushare na mtu
Sheeesshh!!!! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Una sex addiction mbaya Sana manina , yaani ukikosa week tu unapagawa !!? [emoji16][emoji16][emoji16]

Kweli katiba mpya muhimu[emoji16]
 
MI NAONA TU HAPO UMEJIPA PROMO YA KUMKAZA DEMU BAO 4 NA UKIMUOMBA HAKUBANII

KUHUSU KUKAGUANA SIMU ACHA HIZO MAMBO, HALAFU KAMA HUNA MPANGO WA KUMUOA ACHANA NAE TU USICHEZEE HISIA ZAKE
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Wakati bibie anapangua mmoja baada ya mwingine atulie na wewe, wewe unapanga umtelekeze.

Mwanamke kabla hujamuoa ni gombania goli. Mwenye kisu kikali ndio atakula nyama.

Utumwa wa papuchi mbaya sana.m
 
Back
Top Bottom