MI NAONA TU HAPO UMEJIPA PROMO YA KUMKAZA DEMU BAO 4 NA UKIMUOMBA HAKUBANII
KUHUSU KUKAGUANA SIMU ACHA HIZO MAMBO, HALAFU KAMA HUNA MPANGO WA KUMUOA ACHANA NAE TU USICHEZEE HISIA ZAKE
Sasa usipoangalia utajuaje?Habari wakuu.
Mimi ni mtu mkimya sana kitaa sina hata marafiki wengi. So mambo mengi yanayotokea huwa nasolve mwenyewe tu na mara nyingi yanaisha.. lakini hili naona limenikaa sana na sina wa kumwambia akanielewa. So naona ni bora niliweke hapa. Lengo sio kuomba ushauri wa mtu.. leo ni kushare tu ili linitoke kifuani.
Ilikua mwanzo kabisa wa mwaka huu kama tar 3 hivi nilikua na huyu dada room ,tuna mahusuano kama ya miezi miwili... alikua ameeenda bafuni kuoga baada ya mechi.
Basi sijui ni nini kikanituma nicheki simu yake. Nikafungua whatsapp nikaona anachat na watu wengi tu. Nikaona kawaida.
Nikaenda kwenye Txt za kawaida nikakuta kuna watu anachati nao wengi tu. Lakini jina moja nikalistukia. Nikafungua charts zake.
Nikakuta last text ina kama siku 4 inamuuliza kama ataenda kulala kwake.. inaonekana walikua wanaongea sana zaidi ya kuchart.
Basi nikazima simu nikairudisha tu.. alipotoka chooni sikumwambia kitu.. kwa hasira nikampiga bao zangu kama 4 akaondoka kwao. Kama baada ya siku 3 nikamuuliza kama ana mtu yyte either kama ni mpya au wakati tunaingia kwenye mahusiano alikuepo..
Alikana kata kata akasema niko peke yangu. Basi nikamwambia kama kuna mtu yyte afanye aachane nae.
Jana hali ya hewa haikua nzuri sana kukaa peke yako.. nilimuita ili tushinde wote. Alikuja bila pingamizi. Basi kama kawaida alipoenda bafuni kuoga nikasema nicheki kama kaachana na jamaa ake.
Nimeingia kucheki Txt nakuta katika kuchart nae jana hio hio.. tena wanaitana 'babe'
Na jamaa alikua anamuuliza tena kama ataenda kulala kwake.. mimi huwa ni mtulivu sana na sipendi kufanya maamuzi ya haraka.. nilirudisha simu yake , wala sikureact hata kidogo. Usiku nimemsindikiza hadi kwao.
Sasa hapa niko nawaza nifanye nini.? Nikisema nimuache hapa mimi ndio nitapoteza sana.. maana mimi ss hivi nipo kipindi ambacho siku stable sana kwenye nyanja nyingi za kimaisha. Hivyo sina muda wa kutafuta dem mwingine.
Huyu manzi ananipa papuchi kila ninapohitaji. Hanaga kipingamizi chochote.. lkn tatizo ni magonjwa na kinyaa cha kujua dem analiwa na mtu mwingine.
Hapa bado nipo kwenye dilemma nashindwa nifanye nini. ..
Na nnajuta kuangalia sms zake..
Nawaasa wanaume wenzangu. Kama dem hutaki kumuoa usiangalie sms zake wala kugusa simu yake.. unajitafutia presha za bure..
[emoji16][emoji16][emoji16]acha ujinga wewe ,, una umri gani tuanzie hapo kwanzaNikivuta picha na mambo anayonipa eti na jamaa mwingine anapewa hivyo hivyo.. napata hasira natamani hata kulia.
Usimpige chini Wanaume kwetu mwiko kukataa papuchi ila mtoe katika nafasi ya kuwa 1st priority then Mfanye awe mchepukoNatafuta dem mwingine.. nikipata tu huyu napiga chini siku hio hio.
Sheeesshh!!!! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Una sex addiction mbaya Sana manina , yaani ukikosa week tu unapagawa !!? [emoji16][emoji16][emoji16]Mkuj ulishawahi kuwa single hata kwa mwezi ukaona mambo yanavyokua magumu.. sasa hivi ninapitia mambo magumu kimaisha.. nikikosa na papuchi hata mara 1 kwa week ninaweza kuchanganyikiwa mkuu.. sio kwamba napenda kushare na mtu
NotedHakuna Cheating kama hujamuoa...Yupo anatafuta mtu sahihi.
Acha wivu na kulalamika kijana.
[emoji16][emoji16][emoji16]Kutafuta mpenzi wa peke yako kwa Tanzania hii ni sawa na kutafuta sidiria la mikono mirefu
Na vile umesema hauko vzri kimaisha ukiendelea kumchokonoa utaungana na Mimi kuwa mpenzi mtazamaji
Itakua umeshamkula wee bazazi [emoji16][emoji16]Wewe umewahi kulala naye mpaka asubuhi?
Halafu hebu subiri mdada anaishi mitaa gani?
[emoji16][emoji16][emoji16]Akija kulala kwako Una mgaiyaga pesa? tuanzie hapo kwanza
Jamaa hawezi that's why nika question kuhusu age yake [emoji16][emoji16][emoji16]Kwamba lazima uwe unadate?
Huwezi kukaa bila mahusiano kwa kipindi fulani?
Kwamba akiwa nazo ndio gal wake hato m-cheat !??Hehehehe...tafuta hela asee ( huyu ndo mkombozi wako)
[emoji16][emoji16][emoji16]MI NAONA TU HAPO UMEJIPA PROMO YA KUMKAZA DEMU BAO 4 NA UKIMUOMBA HAKUBANII
KUHUSU KUKAGUANA SIMU ACHA HIZO MAMBO, HALAFU KAMA HUNA MPANGO WA KUMUOA ACHANA NAE TU USICHEZEE HISIA ZAKE
Hii mada ya mwaka jana ila kwa jinsi unavyopenda mafumanizi umeifufuaItakua umeshamkula wee bazazi [emoji16][emoji16]
Hata mimi naonaWanachezeana
[emoji16][emoji16][emoji16]wewe sindiye role model wanguHii mada ya mwaka jana ila kwa jinsi unavyopenda mafumanizi umeifufua
Mi nafurahi kujua tumevuka mwaka na ibilisi. Ni ushahidi jinsi Mungu alivyo na huruma[emoji16][emoji16][emoji16]wewe sindiye role model wangu