Tunapunguza kutegemea kodi ya pombe na sigara [emoji2]vumilia tusake vyanzo vingineBia zinashuka bei wateja siwaoni; muda huu nipo bar sina wateja kabisa kuna meza niliyokaa mimi na mbili zingine za wateja .. Umeme Maji Mishahara ya wahudumu; TRA ni sheshe; naomba ushairi wa wadau wa sekta hii hali so nzuri.
Muda huu ni saa nne na robo saa sita kamili nafunga bar kwa mujibu wa sheria - sijauza kabisa. Nipeni mawazo ama ushauri.
Ushauri mzuri sana...kama biashara haitoki ya nini kuing'ang'ania??Mkuu hiyo biashara ulipoianza haukuwa na "exit" strategy? Tafuta mtu umkamatishe ufanye mambo mengine. Ya nini kukumbatia mkaa wa moto? Imeuzwa TBL itakuwa hiyo bar yako?
Pole mkuu kwa changamoto unazopitia,hii awamu ya MKOLOMIJE ni hatari sana kwa biashara Mpya,biashara zinazosurvive ni zile ambazo zilikuwa zinafanya vizuri kipindi cha kikwete na zenyewe zinaenda kwa kuhemea "PUA MOJA".Bia zinashuka bei wateja siwaoni; muda huu nipo bar sina wateja kabisa kuna meza niliyokaa mimi na mbili zingine za wateja .. Umeme Maji Mishahara ya wahudumu; TRA ni sheshe; naomba ushairi wa wadau wa sekta hii hali so nzuri.
Muda huu ni saa nne na robo saa sita kamili nafunga bar kwa mujibu wa sheria - sijauza kabisa. Nipeni mawazo ama ushauri.
umeonaga wapi matajiri wauza pombe???Bia zinashuka bei wateja siwaoni; muda huu nipo bar sina wateja kabisa kuna meza niliyokaa mimi na mbili zingine za wateja .. Umeme Maji Mishahara ya wahudumu; TRA ni sheshe; naomba ushairi wa wadau wa sekta hii hali so nzuri.
Muda huu ni saa nne na robo saa sita kamili nafunga bar kwa mujibu wa sheria - sijauza kabisa. Nipeni mawazo ama ushauri.
Nenda Kondoa kachukue mabinti wa kirangi,sasa wewe mwenyewe mmiliki ,wewe mwenyewe mhudumu,wewe mwenyewe mteja,biashara ya wapi hiyo lazima uisome tu nambaBia zinashuka bei wateja siwaoni; muda huu nipo bar sina wateja kabisa kuna meza niliyokaa mimi na mbili zingine za wateja .. Umeme Maji Mishahara ya wahudumu; TRA ni sheshe; naomba ushairi wa wadau wa sekta hii hali so nzuri.
Muda huu ni saa nne na robo saa sita kamili nafunga bar kwa mujibu wa sheria - sijauza kabisa. Nipeni mawazo ama ushauri.