Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Tafuta wasichana wale wa kanga moko angalau waje kufanya show mara mbili kwa wiki.Bia zinashuka bei wateja siwaoni; muda huu nipo bar sina wateja kabisa kuna meza niliyokaa mimi na mbili zingine za wateja .. Umeme Maji Mishahara ya wahudumu; TRA ni sheshe; naomba ushairi wa wadau wa sekta hii hali so nzuri.
Muda huu ni saa nne na robo saa sita kamili nafunga bar kwa mujibu wa sheria - sijauza kabisa. Nipeni mawazo ama ushauri.
Tafuta wahudumu wazuri wazuri wenye lugha laini kwa wateja.
Tafuta DJ mzuri kwa ajili ya kuburudisha wateja .
Tafuta mpishi mzuri hasa wa supu na nyama choma.
Weka mashindano ya wadada wakata nyonga na mshindi angalau umpe elfu 30 au ishirini ,ninakuhakikishia kwa njia hii mademu watajazana hapo, kitendo cha mademu kujazana hata wanaume pia watajaa kuja kutumia na watoto wazuri wazuri wa hapo.
KWA LUGHA NYEPESI KABISA WEKA MAZINGIRA YANAYOHAMASISHA NGONO KWENYE BAR YAKO .
NB: Usisahau suala la usalama wa raia na mali zao hivyo zingatia suala la mabaunsa pia ili vibosile waweze kuja hapo.