Najuta kuanzisha biashara ya baa, nashindwa na gharama za uendeshaji

Najuta kuanzisha biashara ya baa, nashindwa na gharama za uendeshaji

Sasa hivi kutokana na Jiwe kubana wabongo wengi wanachomudu na chakula tu cha kuwafanya waamke siku inayofuata!!! Tena sio wote!!!! Wengine wanapiga deshi mchana!!! Hatareeee!!!
Hakuna pesa tena za kula bia kwa fujo au kufanya maendeleo!! Wanaofanya maendeleo/project ni wachache sana!!!! Zile Fuso za Kusomba tofali na michanga siku hizi zinasomba takataka!!! Tena hata kazi za kuzoa taka ni adimu!!! Mpaka Bashite akupe shavu!!! Ni shiiddah!!!
Jiwe linanyoosha Nchi!! Hatareeee!!!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Bia zinashuka bei wateja siwaoni; muda huu nipo bar sina wateja kabisa kuna meza niliyokaa mimi na mbili zingine za wateja .. Umeme Maji Mishahara ya wahudumu; TRA ni sheshe; naomba ushairi wa wadau wa sekta hii hali so nzuri.

Muda huu ni saa nne na robo saa sita kamili nafunga bar kwa mujibu wa sheria - sijauza kabisa. Nipeni mawazo ama ushauri.
Zama za giza za jiwe
 
Back
Top Bottom