Tafuta wasichana wale wa kanga moko angalau waje kufanya show mara mbili kwa wiki.
Tafuta wahudumu wazuri wazuri wenye lugha laini kwa wateja.
Tafuta DJ mzuri kwa ajili ya kuburudisha wateja .
Tafuta mpishi mzuri hasa wa supu na nyama choma.
Weka mashindano ya wadada wakata nyonga na mshindi angalau umpe elfu 30 au ishirini ,ninakuhakikishia kwa njia hii mademu watajazana hapo, kitendo cha mademu kujazana hata wanaume pia watajaa kuja kutumia na watoto wazuri wazuri wa hapo.
KWA LUGHA NYEPESI KABISA WEKA MAZINGIRA YANAYOHAMASISHA NGONO KWENYE BAR YAKO .
NB: Usisahau suala la usalama wa raia na mali zao hivyo zingatia suala la mabaunsa pia ili vibosile waweze kuja hapo.