Najuta kuanzisha biashara ya baa, nashindwa na gharama za uendeshaji

Aise umesema hali halisi anayokumbana nayo raia mnyonge nchini, safi sana, kwa sasa ni msosi tu, maji tunachemsha, matunda labda tunajikakamuwa, maendeleo hakuna, maeneo yameota majani hata nguvu za kufanya usafi wenyewe hatuna! Ni hatari..
 
Pana Guest ya Short time?
 
Mkuu kiukweli kwa sasa biashara ya Bar ni ngumu sana hasa kwa sehemu mpya. Wanywaji wachache waliobaki wanakunywa kwenye bar walizozoeleka ili hata wakitaka kukopa iwe rahisi. Nyama zenyewe zimepanda bei hata ile kitimoto haishikiki tena na walaji ni wachache sana. We mwenyewe jaribu kupita kwenye bar mbalimbali hata zile kubwa utajionea hali halisi. Mara nyingi utakuta weekend ndio kuna watu wengi ila siku za kawaida ni empty kabisa wakati gharama za uendeshaji ziko pale pale. Ukiona vipi we funga tu mkuu mambo ya kuleta warangi sijui bendi sijui nini kwa hali ya sasa utaingia hasara tuu na mwisho bado utafunga.
 
Nenda Karatu tafuta desiriii matata kabisa wabichi wa late 10 na early 20s sikufich kaz ya bar wanazipenda. Coz wanatoa Huduma zote ili kubust biashara(nimemaanisha sio wachoyo).
 
Peponi naenda mimi tuu [emoji519]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Biashara ya bar inalipa sana hasa kama hupo dar, kama haikulipi kuna sehemu unakosea zingatia vitu muhimu sana usafi...jiko...wahudumu na vimini ni lazma....ulinzi...parking....no smoking bar isiwe kama kijiwe....dj mzuri...flatscreen za kutosha kwa ajili ya mpira....ubunifu mfano hapa kila ijumaa tunahoji wateja....naomba unitafute ujioner kama upo dar ....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sahv wengi tumehamia kwa mangi
Bar mnachemsha sana kwenye usimamizi.....tatzo lens Nyie wenye bar hamjui kudeal na sisi wanywaji/walevi
Ila bado kuna bar chache znajitahidi
Ila narudia tena wanywaji nguli akiwemo mm wengi tunakunywa kwa mangi na sahv ndy wana kik...

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…