Najuta kufanya mapenzi na rafiki yangu wa kike

Ni rafiki yangu wa faida kwa miaka mingi, tumevuka milima na mabonde, alipopata mchumba akaniambia tukafuata mahali tukafanya send-off akaolewa huko, na mimi nilipooa alishiriki kwa hatua zote. Akigombana na mme wake nawatuliza.

Nikiwa na shida na hela ananisaidia hata nisipolipa haina shida.

Juzi kati aligombana na mme wake akatimkia kwao baadae nikamuunganisha dili fulani akawa anafanya. Shida ilianzia nilipoenda home na mimi tukakutana tukanywa bia sana nashangaa asubuhi tumeamka chumba kimoja alafu tumekulana sana!

Rafiki yangu alipotoka hapo kesho yake akafuatwa na mme wake na kesi yao ikawa imeisha.

Hiki kitendo cha kumtafuna kinaleta shida maana hawi serious kwenye issues za maana kama zamani. Sasa itabidi nitafute rafiki mwingine wa kike ambaye sitamla kamwe ili kuheshimiana kuendelee kuwepo.

Binafsi sioni kama ni hadithi kwani ndio ukweli...
ukitaka udumu na rafiki wa Kike na mfanikiwe katika mambo ya maendeleo hakikisha kabisa mambo ya mapenzi unaweka mbali. Kama anapenda kutiwa acha achukuliwe na wengine kwa wakati wake.
Siku mkilana ndio mambo yana sambaratika na kuachana...
WANAWAKE NI WAZURI WA KUFANYA NAO DILI /BIASHARA NK KWANI WENGI NI WAAMINIFU LAKINI USICHANGANYE NA MAPENZI....LABDA HUKO MBELENI KAMA UNATAKA KUMUOA KABISA....
 
Ni rafiki yangu wa faida kwa miaka mingi, tumevuka milima na mabonde, alipopata mchumba akaniambia tukafuata mahali tukafanya send-off akaolewa huko, na mimi nilipooa alishiriki kwa hatua zote. Akigombana na mme wake nawatuliza.

Nikiwa na shida na hela ananisaidia hata nisipolipa haina shida.

Juzi kati aligombana na mme wake akatimkia kwao baadae nikamuunganisha dili fulani akawa anafanya. Shida ilianzia nilipoenda home na mimi tukakutana tukanywa bia sana nashangaa asubuhi tumeamka chumba kimoja alafu tumekulana sana!

Rafiki yangu alipotoka hapo kesho yake akafuatwa na mme wake na kesi yao ikawa imeisha.

Hiki kitendo cha kumtafuna kinaleta shida maana hawi serious kwenye issues za maana kama zamani. Sasa itabidi nitafute rafiki mwingine wa kike ambaye sitamla kamwe ili kuheshimiana kuendelee kuwepo.
Elitwege katika ubora wako dada yangu
 
Binafsi sioni kama ni hadithi kwani ndio ukweli...
LAKINI ukitaka udumu na rafiki wa Kike na mfanikiwe katika mambo ya maendeleo hakikisha kabisa mambo ya mapenzi unaweka mbali. Kama anapenda kutiwa acha achukuliwe na wengine kwa wakati wake.
Siku mkilana ndio mambo yana sambaratika na kuachana...
WANAWAKE NI WAZURI WA KUFANYA NAO DILI /BIASHARA NK KWANI WENGI NI WAAMINIFU LAKINI USICHANGANYE NA MAPENZI....LABDA HUKO MBELENI KAMA UNATAKA KUMUOA KABISA....
Umenena vyema
 
Back
Top Bottom