Ushamba wako unakufanya uone kila kitu ni Tea
Mbona nilikualika Mzee mwenzangu?Nilichelewa kuiona hii mzee mwenzangu. Ndo nimeshachelewa kwenye sikukuu ya Eid? Halafu sijaalikwa po pote dah! 😭
Mbona ulipoamua kufanya hukutangaza? Unatangaza sasa ili iweje? Ulimbukeni wa siku hizi sina hamu.Ni rafiki yangu wa faida kwa miaka mingi, tumevuka milima na mabonde, alipopata mchumba akaniambia tukafuata mahali tukafanya send-off akaolewa huko, na mimi nilipooa alishiriki kwa hatua zote. Akigombana na mme wake nawatuliza.
Nikiwa na shida na hela ananisaidia hata nisipolipa haina shida.
Juzi kati aligombana na mme wake akatimkia kwao baadae nikamuunganisha dili fulani akawa anafanya. Shida ilianzia nilipoenda home na mimi tukakutana tukanywa bia sana nashangaa asubuhi tumeamka chumba kimoja alafu tumekulana sana!
Rafiki yangu alipotoka hapo kesho yake akafuatwa na mme wake na kesi yao ikawa imeisha.
Hiki kitendo cha kumtafuna kinaleta shida maana hawi serious kwenye issues za maana kama zamani. Sasa itabidi nitafute rafiki mwingine wa kike ambaye sitamla kamwe ili kuheshimiana kuendelee kuwepo.
NatubuMbona ulipoamua kufanya hukutangaza? Unatangaza sasa ili iweje? Ulimbukeni wa siku hizi sina hamu.
Alisema mtumishi wa Mungu mmoja ni maarafu na amekaa kwenye tasnia ya dini kwa muda kidogo namfuatilia sana,alisema hivi hakunaga urafiki kati ya mwanamke na mwanaume haijawahi tokea mkadumu kwneye urafiki tuuuuu 🤔inafikirishaNi rafiki yangu wa faida kwa miaka mingi, tumevuka milima na mabonde, alipopata mchumba akaniambia tukafuata mahali tukafanya send-off akaolewa huko, na mimi nilipooa alishiriki kwa hatua zote. Akigombana na mme wake nawatuliza.
Nikiwa na shida na hela ananisaidia hata nisipolipa haina shida.
Juzi kati aligombana na mme wake akatimkia kwao baadae nikamuunganisha dili fulani akawa anafanya. Shida ilianzia nilipoenda home na mimi tukakutana tukanywa bia sana nashangaa asubuhi tumeamka chumba kimoja alafu tumekulana sana!
Rafiki yangu alipotoka hapo kesho yake akafuatwa na mme wake na kesi yao ikawa imeisha.
Hiki kitendo cha kumtafuna kinaleta shida maana hawi serious kwenye issues za maana kama zamani. Sasa itabidi nitafute rafiki mwingine wa kike ambaye sitamla kamwe ili kuheshimiana kuendelee kuwepo.
Wewe ni mkware,kama umemla nyote mlisahau na muendelee na urafiki tuNi rafiki yangu wa faida kwa miaka mingi, tumevuka milima na mabonde, alipopata mchumba akaniambia tukafuata mahali tukafanya send-off akaolewa huko, na mimi nilipooa alishiriki kwa hatua zote. Akigombana na mme wake nawatuliza.
Nikiwa na shida na hela ananisaidia hata nisipolipa haina shida.
Juzi kati aligombana na mme wake akatimkia kwao baadae nikamuunganisha dili fulani akawa anafanya. Shida ilianzia nilipoenda home na mimi tukakutana tukanywa bia sana nashangaa asubuhi tumeamka chumba kimoja alafu tumekulana sana!
Rafiki yangu alipotoka hapo kesho yake akafuatwa na mme wake na kesi yao ikawa imeisha.
Hiki kitendo cha kumtafuna kinaleta shida maana hawi serious kwenye issues za maana kama zamani. Sasa itabidi nitafute rafiki mwingine wa kike ambaye sitamla kamwe ili kuheshimiana kuendelee kuwepo.
Ili kutoa elimu kwa wengineMbona ulipoamua kufanya hukutangaza? Unatangaza sasa ili iweje? Ulimbukeni wa siku hizi sina hamu.
Nimejaribu imeshindikanaWewe ni mkware,kama umemla nyote mlisahau na muendelee na urafiki tu
Huenda yuko sahihiAlisema mtumishi wa Mungu mmoja ni maarafu na amekaa kwenye tasnia ya dini kwa muda kidogo namfuatilia sana,alisema hivi hakunaga urafiki kati ya mwanamke na mwanaume haijawahi tokea mkadumu kwneye urafiki tuuuuu 🤔inafikirisha
Ongeza bidiiNimejaribu imeshindikana
Inasikitisha sanaNiliwahi kuwa na rafiki wa kike,ila one day akanibariki na toka hapo urafiki uliisha
🤣🤣Utoto ni raha sana
ChaiNi rafiki yangu wa faida kwa miaka mingi, tumevuka milima na mabonde, alipopata mchumba akaniambia tukafuata mahali tukafanya send-off akaolewa huko, na mimi nilipooa alishiriki kwa hatua zote. Akigombana na mme wake nawatuliza.
Nikiwa na shida na hela ananisaidia hata nisipolipa haina shida.
Juzi kati aligombana na mme wake akatimkia kwao baadae nikamuunganisha dili fulani akawa anafanya. Shida ilianzia nilipoenda home na mimi tukakutana tukanywa bia sana nashangaa asubuhi tumeamka chumba kimoja alafu tumekulana sana!
Rafiki yangu alipotoka hapo kesho yake akafuatwa na mme wake na kesi yao ikawa imeisha.
Hiki kitendo cha kumtafuna kinaleta shida maana hawi serious kwenye issues za maana kama zamani. Sasa itabidi nitafute rafiki mwingine wa kike ambaye sitamla kamwe ili kuheshimiana kuendelee kuwepo.
Kwan lazima uwe na rafiki wakike, humu JF bhana kuna watu ukiwaz huelewi kama tupo dunia moja au wanatokea PLUTO.Ni rafiki yangu wa faida kwa miaka mingi, tumevuka milima na mabonde, alipopata mchumba akaniambia tukafuata mahali tukafanya send-off akaolewa huko, na mimi nilipooa alishiriki kwa hatua zote. Akigombana na mme wake nawatuliza.