Najuta kufanya mapenzi na rafiki yangu wa kike

Huo uzinzi na hauna faida jitahidi kustaarabika mkuu utakula kila anayekuchekea mwisho wa siku umle dada wa mkeo uende ukweni ukataliwe
sasa nawe ufike ukweni uanze tena kuwaambia umemla shemeji ako jaman? iyo ni nyama ya hamu tu, siri inabak kwenu wawili
 
Ni rafiki yangu wa faida kwa miaka mingi, tumevuka milima na mabonde, alipopata mchumba akaniambia tukafuata mahali tukafanya send-off akaolewa huko, na mimi nilipooa alishiriki kwa hatua zote. Akigombana na mme wake nawatuliza.

Nikiwa na shida na hela ananisaidia hata nisipolipa haina shida.

Juzi kati aligombana na mme wake akatimkia kwao baadae nikamuunganisha dili fulani akawa anafanya. Shida ilianzia nilipoenda home na mimi tukakutana tukanywa bia sana nashangaa asubuhi tumeamka chumba kimoja alafu tumekulana sana!
Inskuhudu
Rafiki yangu alipotoka hapo kesho yake akafuatwa na mme wake na kesi yao ikawa imeisha.

Hiki kitendo cha kumtafuna kinaleta shida maana hawi serious kwenye issues za maana kama zamani. Sasa itabidi nitafute rafiki mwingine wa kike ambaye sitamla kamwe ili kuheshimiana kuendelee kuwepo.
VETA inakuhusu
 
sasa nawe ufike ukweni uanze tena kuwaambia umemla shemeji ako jaman? iyo ni nyama ya hamu tu, siri inabak kwenu wawili
Angalia usije ukamla mama mkwe kama Yule jamaa alieleta uzi wa How I met my wife
 
Ni rafiki yangu wa faida kwa miaka mingi, tumevuka milima na mabonde, alipopata mchumba akaniambia tukafuata mahali tukafanya send-off akaolewa huko, na mimi nilipooa alishiriki kwa hatua zote. Akigombana na mme wake nawatuliza.

Nikiwa na shida na hela ananisaidia hata nisipolipa haina shida.

Juzi kati aligombana na mme wake akatimkia kwao baadae nikamuunganisha dili fulani akawa anafanya. Shida ilianzia nilipoenda home na mimi tukakutana tukanywa bia sana nashangaa asubuhi tumeamka chumba kimoja alafu tumekulana sana!

Rafiki yangu alipotoka hapo kesho yake akafuatwa na mme wake na kesi yao ikawa imeisha.

Hiki kitendo cha kumtafuna kinaleta shida maana hawi serious kwenye issues za maana kama zamani. Sasa itabidi nitafute rafiki mwingine wa kike ambaye sitamla kamwe ili kuheshimiana kuendelee kuwepo.
Tupo na wewe hadi utolewe bikra ya nyuma
 
Back
Top Bottom