Najuta kufanya mapenzi na rafiki yangu wa kike

Najuta kufanya mapenzi na rafiki yangu wa kike

Story kama hizi ndio mambo wa-tz wengi wanaweza kubuni, ila kubuni kitu Cha maendeleo Yao ni zero plus!

Hapo jamaa katunga ushuzi na utakuta hivi Sasa amelala kwenye kochi anasoma comments huku amekenua meno. Umaskini ukimjaa anailaumu CCM.
 
Ni rafiki yangu wa faida kwa miaka mingi, tumevuka milima na mabonde, alipopata mchumba akaniambia tukafuata mahali tukafanya send-off akaolewa huko, na mimi nilipooa alishiriki kwa hatua zote. Akigombana na mme wake nawatuliza.

Nikiwa na shida na hela ananisaidia hata nisipolipa haina shida.

Juzi kati aligombana na mme wake akatimkia kwao baadae nikamuunganisha dili fulani akawa anafanya. Shida ilianzia nilipoenda home na mimi tukakutana tukanywa bia sana nashangaa asubuhi tumeamka chumba kimoja alafu tumekulana sana!

Rafiki yangu alipotoka hapo kesho yake akafuatwa na mme wake na kesi yao ikawa imeisha.

Hiki kitendo cha kumtafuna kinaleta shida maana hawi serious kwenye issues za maana kama zamani. Sasa itabidi nitafute rafiki mwingine wa kike ambaye sitamla kamwe ili kuheshimiana kuendelee kuwepo.
Hii inanikumbusha mada ya UTUNGAJI
 
Back
Top Bottom