Najuta kufanya mapenzi na rafiki yangu wa kike

Kwahiyo hapo mnasingizia beer au sio.
Siku ukilewa ukapinduliwa basi singizia hiyo beer pia.

Achana na wake za watu jombaa Dunia haina Huruma Kwa mwanaume anakula mke WA mtu.

Itampa adhabu ambayo hatokuja kuisahau Maisha Yake yote Hadi anaingia kaburini na adhabu hiyo itakuwaja kuathili watoto wake mana watapata stori Tu Kwamba mshuwa wenu alifanyiwa kitendo kadhaa Kwa Kula mke WA mtu.
 
Pombe mbaya sana
 
Hapo wewe hauna kosa lolote mkuu:-
Hapa Kuna somo na itakua kosa sana kwa mtu asiyeoa kulifanya
1.Kuoa mwanamke asiye bikira
2.kuoa mwanamke mwenye marafili wa kiume
3.yaani serious unaoa mwanamke anayekunywa pombe
Kaka hauna kosa kibinadamu,ila kimungu adhabu inakusubiri,......ila huyo kenge aliyechukua huyo Malaya kwa mwamvuli wa ndoa ana adhabu,duniani na akhera inamngoja
 
Sasa itabidi nitafute rafiki mwingine wa kike ambaye sitamla kamwe ili kuheshimiana kuendelee kuwepo.
Huyo mwingine utatafuna na kumla vizuri tu na hata atakayekuja baada ya huyu mpya naye utatafuna na kumla kama vile hujawahi kuweka nadhiri ya kutokumla rafiki yako.

Tukiwaambia huwa hakunaga urafiki kati ya mwanamke na mwanaume mnashupaza shingo kwa ubishi kama wamama wa kinyakyusa. Haya umetupa point 3 za bure.
 
Mh
 
Bageshi; ūlīntumbasu. Dūdachimaga abake babanhū nkoi. Ohūbile sana. Nakolwa noi! 👹👹

Na Hakuna urafiki wa kawaida kati ya mwanamke na mwanaume rijali! na ni wazi miaka yote hiyo ulikuwa unajua tu kuwa siku moja utakuja kumla huyo bestie wako japo kwa sasa eti unasingizia bia. Ntumbasuuuu!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…