Hakuna kwa kweliUlitaka utembee na rafiki yako wa kiume au?
Hakuna urafiki wa mwanamke na mwanaume
Kwa nini usijute kunywa pombe?Ni rafiki yangu wa faida kwa miaka mingi, tumevuka milima na mabonde, alipopata mchumba akaniambia tukafuata mahali tukafanya send-off akaolewa huko, na mimi nilipooa alishiriki kwa hatua zote. Akigombana na mme wake nawatuliza.
Nikiwa na shida na hela ananisaidia hata nisipolipa haina shida.
Juzi kati aligombana na mme wake akatimkia kwao baadae nikamuunganisha dili fulani akawa anafanya. Shida ilianzia nilipoenda home na mimi tukakutana tukanywa bia sana nashangaa asubuhi tumeamka chumba kimoja alafu tumekulana sana!
Rafiki yangu alipotoka hapo kesho yake akafuatwa na mme wake na kesi yao ikawa imeisha.
Hiki kitendo cha kumtafuna kinaleta shida maana hawi serious kwenye issues za maana kama zamani. Sasa itabidi nitafute rafiki mwingine wa kike ambaye sitamla kamwe ili kuheshimiana kuendelee kuwepo.
bonge la ushauriUnashangaa mko kitandani? Draw the line, mwambie yaliyotokea ni minor issue, asiendekeze tena
Nimetubu mkuuWanaotembea na wake za watu huandamwa na mikosi. Subiria mikosi ianze.
NajutaKwa nini usijute kunywa pombe?
Umesamehewa mkuu. Wasaidie na wengine kuacha hiyo tabia. Na Mungu atusaidie.Nimetubu mkuu
AKILI ZA TIEFU EFU NA BODY YA RIGI HIZINi rafiki yangu wa faida kwa miaka mingi, tumevuka milima na mabonde, alipopata mchumba akaniambia tukafuata mahali tukafanya send-off akaolewa huko, na mimi nilipooa alishiriki kwa hatua zote. Akigombana na mme wake nawatuliza.
Nikiwa na shida na hela ananisaidia hata nisipolipa haina shida.
Juzi kati aligombana na mme wake akatimkia kwao baadae nikamuunganisha dili fulani akawa anafanya. Shida ilianzia nilipoenda home na mimi tukakutana tukanywa bia sana nashangaa asubuhi tumeamka chumba kimoja alafu tumekulana sana!
Rafiki yangu alipotoka hapo kesho yake akafuatwa na mme wake na kesi yao ikawa imeisha.
Hiki kitendo cha kumtafuna kinaleta shida maana hawi serious kwenye issues za maana kama zamani. Sasa itabidi nitafute rafiki mwingine wa kike ambaye sitamla kamwe ili kuheshimiana kuendelee kuwepo.
HahahaAKILI ZA TIEFU EFU NA BODY YA RIGI HIZI
Asante sana mkuuUmesamehewa mkuu. Wasaidie na wengine kuacha hiyo tabia. Na Mungu atusaidie.
Safi mwanawane wee hapo piga kimyaaaa sii ulishamkula bwana wewe. Yeye ndio aanze kukutafutaNi rafiki yangu wa faida kwa miaka mingi, tumevuka milima na mabonde, alipopata mchumba akaniambia tukafuata mahali tukafanya send-off akaolewa huko, na mimi nilipooa alishiriki kwa hatua zote. Akigombana na mme wake nawatuliza.
Nikiwa na shida na hela ananisaidia hata nisipolipa haina shida.
Juzi kati aligombana na mme wake akatimkia kwao baadae nikamuunganisha dili fulani akawa anafanya. Shida ilianzia nilipoenda home na mimi tukakutana tukanywa bia sana nashangaa asubuhi tumeamka chumba kimoja alafu tumekulana sana!
Rafiki yangu alipotoka hapo kesho yake akafuatwa na mme wake na kesi yao ikawa imeisha.
Hiki kitendo cha kumtafuna kinaleta shida maana hawi serious kwenye issues za maana kama zamani. Sasa itabidi nitafute rafiki mwingine wa kike ambaye sitamla kamwe ili kuheshimiana kuendelee kuwepo.
Asante kwa ushauriSafi mwanawane wee hapo piga kimyaaaa sii ulishamkula bwana wewe. Yeye ndio aanze kukutafuta