Najuta kufanya mapenzi na rafiki yangu wa kike

Kwa nini usijute kunywa pombe?
 
AKILI ZA TIEFU EFU NA BODY YA RIGI HIZI
 
Safi mwanawane wee hapo piga kimyaaaa sii ulishamkula bwana wewe. Yeye ndio aanze kukutafuta
 
Huu ujinga wa kuwa na rafiki wa kike ulishanishinda.Nilikuwa naye mmoja nikadhani urafiki utadumu.Niliishia kumla mara tatu na urafiki ukaisha.Ili kuonyesha msisitizo,ke anayetaka ukaribu na mimi huwa namtongoza kabisa ili ajue kuwa hapa hakuna rafiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…