Najuta kuhamia kwangu Kerege

Sio wajinga..nadhan hapa unachobishania na mwenzako ni vipaumbele...!kila.mtu na kipaumbele chake..mwingine kipaumbele chake ni kumiliki.gari kali..mwingine kipaumbele ni kusave hela..kila mtu na maono yake!
 
Mi mzee nmejenga huku mwandege kilindoni..nmewaza hapa nanunua boxer nampa mtu mkataba asubuh na jioni ananipeleka kituoni..mchana anafuata mtoto shule halafu aniletee 10 kila siku sacrifice nyengine lazima zijitokeze kama mzazi.., huwezi ogopa kukaa kwako kisa eti hutamwona mtoto..sasa weekend za nn
 
Sio wajinga..nadhan hapa unachobishania na mwenzako ni vipaumbele...!kila.mtu na kipaumbele chake..mwingine kipaumbele chake ni kumiliki.gari kali..mwingine kipaumbele ni kusave hela..kila mtu na maono yake!
Kipaumbele kumiliki gari kali....dah watanzania bana..na kununua simu ya million 2 na kua na account instagram...utaishije mjini hujamsoma mondi..na kuweka heshima bar kwa kuagiza six packs ...mbona tutaheshimiana tu.....hiki swala linamfanya nimweshim mau ingawa sio mwanachama wa chama chochote.....aendelee kukaza tu watanzania tutaamka na kujua priority ni zipi katika maisha
 
Halafu watu manakaa MAPINGA na wanapiga kazi mjini. Ni mipango tu na wala sio mbali kihivyo. Na soon mwendo kasi nayo itakuwa road ya tegeta hakutakuwa mbali kihivyo kama watu wanavyofikiri.
Ni mbali tu
 
Sio wajinga..nadhan hapa unachobishania na mwenzako ni vipaumbele...!kila.mtu na kipaumbele chake..mwingine kipaumbele chake ni kumiliki.gari kali..mwingine kipaumbele ni kusave hela..kila mtu na maono yake!

Haswaaaaa sasa tunaanza kwenda sawa. Na vipaumbele hivyo vinategemea na mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja na uwezo wa mtu kufikiri, mazingira yanayomzunguka, fursa, uzoefu wa nyuma nk. Mpaka mtu kufika mahali akaona bora kujenga kuliko kufanya biashara, mtu huyo si mjinga! Amesha angalia akaona hicho ndio anachoweza kufanya kwa wakati huo. Sasa wewe ukianza kumshangaa maana yake wewe ndio una matatizo kwa kudhani kila mtu anawaza kama wewe au ana uwezo wa kufanya biashara kama ulio nao wewe!
Yaani ni sawa na leo Diamond Platnumz aje hapa kwenye huu uzi aanze kutushangaa sisi tunaoingiza laki mbili kwa siku na kutuona wajinga, kwamba kwanini nasisi tusiimbe mziki kama yeye tukaingiza milioni kumi kwa siku?
 
Hiyo hela sinunui kiwanja kibaha hata siku moja. Labda hela ya bwerere
Sasa mkuu tofali 219 zimeongeza nini kwenye kiwanja cha 85M..?

Lengo lako kuzitaja hapa ni lipi, kwamba ndo zilichangia kukushawishi ununue au vipi.... ni kama 200k tu hizo kununua.

Hongera kwa kununua kiwanja bei kubwa Maili Moja.
 
Mkuu pole sana ila aina namna, nina braza yangu nae kajenga huko kerege kutoka road mpk ufike kama kilometa moja na nusu sema ndio mambo ya dodoma ikabidi aamie huko sema mji utakuwa tu komaa
 
Kutoka barabara kuu mpaka kwake alikojenga mtoa post ni km 8. Kaka yako km moja na nusu huoni tofauti hiyo
Mkuu pole sana ila aina namna, nina braza yangu nae kajenga huko kerege kutoka road mpk ufike kama kilometa moja na nusu sema ndio mambo ya dodoma ikabidi aamie huko sema mji utakuwa tu komaa
 
Ni sawa mkuu...lakini kuna mishe nyingine huenda hukua unajua .ukazijulia hapa! Hii ni platform ya kujazana mambo mazuri
 
Kaka. Kuna ile meli kubwa MV. Bagamoyo, kwanini usitumie usafiri ule upunguze gharama za usafiri?
 
Ni sawa mkuu...lakini kuna mishe nyingine huenda hukua unajua .ukazijulia hapa! Hii ni platform ya kujazana mambo mazuri

Ni kweli kabisa, tatizo bana Mane hizi mishe za mitandaoni nazo ni zakua nazo makini sana. Baadhi ya watu sio wakweli na wanakuza sana mambo plus kutoa taarifa nusunusu. Kiasi kwamba unaweza kuta watu wanajadili humu kuhusu ishu fulani kwamba inalipa, sasa wewe ukadhani ni ishu simpo tu ukaenda kuijaribu na wewe bila utafiti wa kina. Weee.. unachezea za uso na vihela vyako vinapepea fastaa unarudi ukiwa na hali mbaya kuliko uliyokua nayo hapo kabla..!
 
Mkuu.. hivi mwendokasi itafika hadi Mwandege?
 
Usikariri, kama kwako hayaendi usifikiri hayaendi kwa wote.
Usikaririshwe, mfano mdogo tu, angalia sasa hivi namba za gari zimefikia herufi ipi.
Hadithi za Shigongo hizo
toka Mkwere atoke namba bado tupo D sijaiona hiyo E
ww ulisema umelipa 75M nikakuambia ni uongo km kweli ungeniambia na Kodi yake ngapi au uliitoa Benki gani bila Querry
Mkuu kwa taarifa yako sasa hv huko nje hela zinapatikana vzr tu!usikariri
Nje ipi hiyo wakati Ngada imefungiwa ni biashara ipi huyo Dogo kaingiza kwa mwezi 75M
unajua kuna kipindi kati ya utoto-ujana kabla ya uzee mtu anakuwa na ndoto za kufikirika hasa katika maisha ya biashara, hata mwendo atabadili licha ya maisha
ktk somo la Biashara kuna terms inaitwa petty bourgeoisie naona ni kifaransa lkn tafuta maana yake ipo hata Google
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…