2nzi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 259
- 227
Vibaka sinza ndo kwao,.[emoji23][emoji23]Mbona hujamshauri kuhusu tatizo la vibaka ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vibaka sinza ndo kwao,.[emoji23][emoji23]Mbona hujamshauri kuhusu tatizo la vibaka ?
Ha ha ha! 85m kiwanja Kibaha maili moja awamu ya JPM sio?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akikujibu nishitue,[emoji41]Kwako ndo unaona ujanja umemaliza hapo ukitoka out
Anashindana na mkewe kuwa na miguu soft,[emoji21]Unamshangaa mwanaume mwenzio vigimbi huo ni umama [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na wewe ndiye mnunuzi,Mimi hapo ndio nimemaliza, wewe kalime kilimo cha matikiti WhatsApp.
Tango pori lileHa ha ha! 85m kiwanja Kibaha maili moja awamu ya JPM sio?
Mfano we Manengelo unatengeneza laki 2 kwa siku. Hiyo ni sawa kabisa kulingana na mipango uliyofanya, mazingira uliyokutana nayo, fursa, connection, na akili yako ya biashara. Je, ni kila mtu ana akili, fursa na mazingira kama hayo? Je, ni sahihi kumuona ambae hatengenezi laki 2 kwa siku kuwa ni mjinga, au ni mvivu? Je, hapo unapofanyia biashara zako, watu wote wanaofanya biashara kama hiyo nao wanaingiza laki 2? Sasa mambo kama haya watu hawayazungumzi, wanachukulia kijuu juu tu kwamba sisi tusio na hela tunaokimbilia kujenga ni wajinga, bora tufanye biashara!
Mi mzee nmejenga huku mwandege kilindoni..nmewaza hapa nanunua boxer nampa mtu mkataba asubuh na jioni ananipeleka kituoni..mchana anafuata mtoto shule halafu aniletee 10 kila siku sacrifice nyengine lazima zijitokeze kama mzazi.., huwezi ogopa kukaa kwako kisa eti hutamwona mtoto..sasa weekend za nnAkishakua kwake kwa vyovyote kuna hela nyingi atakua anaokoa
atakapogundua sasa napata shida ya ku socialize na ndugu,jamaa na rafiki akili itapanuka atawaza (solution)
akigundua shida ni foleni nadhani atapata wazo la kununua Piki Piki aweke hapo nyumbani
mara moja moja unachelewa kuamka unawaona watoto then unaenda kazini Kwa piki piki atapenya popote
kama ni kurudi anaweza kuamua siku kaenda na piki piki akawahi kurudi Chap saa mbili yupo Ndani
kwa vyovyote vile akiishi kerege hawezi tegemea Gari tu lazima awaze njia nyingine rahisi ya kumuwezesha
Kuwahi kufika kazini na kuwahi kurudi nyumbani, Akiweza ku master hilo game ataweza kuishi popote pale.
Kipaumbele kumiliki gari kali....dah watanzania bana..na kununua simu ya million 2 na kua na account instagram...utaishije mjini hujamsoma mondi..na kuweka heshima bar kwa kuagiza six packs ...mbona tutaheshimiana tu.....hiki swala linamfanya nimweshim mau ingawa sio mwanachama wa chama chochote.....aendelee kukaza tu watanzania tutaamka na kujua priority ni zipi katika maishaSio wajinga..nadhan hapa unachobishania na mwenzako ni vipaumbele...!kila.mtu na kipaumbele chake..mwingine kipaumbele chake ni kumiliki.gari kali..mwingine kipaumbele ni kusave hela..kila mtu na maono yake!
Ni mbali tuHalafu watu manakaa MAPINGA na wanapiga kazi mjini. Ni mipango tu na wala sio mbali kihivyo. Na soon mwendo kasi nayo itakuwa road ya tegeta hakutakuwa mbali kihivyo kama watu wanavyofikiri.
Sio wajinga..nadhan hapa unachobishania na mwenzako ni vipaumbele...!kila.mtu na kipaumbele chake..mwingine kipaumbele chake ni kumiliki.gari kali..mwingine kipaumbele ni kusave hela..kila mtu na maono yake!
Sasa mkuu tofali 219 zimeongeza nini kwenye kiwanja cha 85M..?
Lengo lako kuzitaja hapa ni lipi, kwamba ndo zilichangia kukushawishi ununue au vipi.... ni kama 200k tu hizo kununua.
Hongera kwa kununua kiwanja bei kubwa Maili Moja.
aiseeHiyo ndio nyumba uliyojenga au ni banda LA uani
Mkuu pole sana ila aina namna, nina braza yangu nae kajenga huko kerege kutoka road mpk ufike kama kilometa moja na nusu sema ndio mambo ya dodoma ikabidi aamie huko sema mji utakuwa tu komaa
Haswaaaaa sasa tunaanza kwenda sawa. Na vipaumbele hivyo vinategemea na mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja na uwezo wa mtu kufikiri, mazingira yanayomzunguka, fursa, uzoefu wa nyuma nk. Mpaka mtu kufika mahali akaona bora kujenga kuliko kufanya biashara, mtu huyo si mjinga! Amesha angalia akaona hicho ndio anachoweza kufanya kwa wakati huo. Sasa wewe ukianza kumshangaa maana yake wewe ndio una matatizo kwa kudhani kila mtu anawaza kama wewe au ana uwezo wa kufanya biashara kama ulio nao wewe!
Yaani ni sawa na leo Diamond Platnumz aje hapa kwenye huu uzi aanze kutushangaa sisi tunaoingiza laki mbili kwa siku na kutuona wajinga, kwamba kwanini nasisi tusiimbe mziki kama yeye tukaingiza milioni kumi kwa siku?
Ni sawa mkuu...lakini kuna mishe nyingine huenda hukua unajua .ukazijulia hapa! Hii ni platform ya kujazana mambo mazuri
Mkuu.. hivi mwendokasi itafika hadi Mwandege?Ndugu katika maisha ukisema uige mtu husogei....nmchukua mkopo nkatoa kitu mwandege navutia kasi tu mwendokasi uje wakati now nakula daladala zangu mwandege posta...i..wakati kuna jamaa zangu walibeba mkopo wakanunua harrier tako la nyani now linawala tu mafuta.....watu wanapiga kelele za kupanga nyumba sinza sijui tabata hawajui hizo ni investmwnt za wajanja miaka 20 nyuma na miji inakua kwa kasi.....nakumbuka maza alinambia mbezi beach pale makonde tu walikua wanalazimishwa kununua kiwanja...mwisho wa siku akili ya kuazima changanya na yako
Hadithi za Shigongo hizoUsikariri, kama kwako hayaendi usifikiri hayaendi kwa wote.
Usikaririshwe, mfano mdogo tu, angalia sasa hivi namba za gari zimefikia herufi ipi.
Nje ipi hiyo wakati Ngada imefungiwa ni biashara ipi huyo Dogo kaingiza kwa mwezi 75MMkuu kwa taarifa yako sasa hv huko nje hela zinapatikana vzr tu!usikariri