Najuta kuhamia kwangu Kerege

Najuta kuhamia kwangu Kerege

tupo sawa sasa
maana kuna mahali nimeona unaingiza 200k nikijua upo Ofisini au Tanzania hii
haya Mleta Mada joshua_ok
ana nyumba hii hapa tutafutie wapangaji au mifugo, sijui ana eneo la shamba au kapakana na wenzake huko KEREGE
View attachment 1261398


Hahhaa mm sio dalali mkuu..wala sijaajiriwa!ninamishe tu za hapa na pale!ile ishu ya 200k naona imekudisturb sana...hii ni chitchat tu mkuu..potezea!
 
Wengine hatukebehi mamii tunataka kujua kweli tuchukue hatua
😅😅ukiutwist ubongo kuwa kila kitu hakiwezekan na kwel huwa haiwezekan..maana ubongo unakuwa umeulisha ww kuwa hauwez..sitaweza andika hapa kamwe !ila km samurai amekubali hela ipo mimi manengelo ni nani had nishupaze shingo kuwaaminisha matomaso😎!no easy task thou
 
Mkuu usibishane nae huyo,..muache aamini aaminicho.
Nakumbuka miaka 2 nyuma naanza ujenzi msumi baba yangu mzazi alitamka
"Ukianza kuishi huku hata harusi hautaweza kuudhuria."
Nilimshangaa nikamuuliza baba,umeona harusi ni kitu cha maana sana kwangu.
Na home siku zote waliamini napenda kujirusha,..na ikumbukwe sina gari na nafurahia kuwa kwangu.

Nilicheka zaidi juzi kati kazinguana na mama ananiambia ki utani lakini,."ungekuwa na vyumba vingi ningekuja kukaa kwako.
Alishasahau kama alinishangaa nakuja kujenga mbali.
Na haya ndiyo maisha hata watu wa karibu wanaweza kukubeza kwa kile ufanyacho,sembuse hawa wa humu tusiowajua.
Sawa kabisa mkuu, cha muhimu ni kufanya kile ambacho unaamini ni sahihi ili mradi sio kitu cha kupoteza hela bure. Mimi kwenye investiment za real estate huwa simsikilizi yeyote huwa nikiamua kununua nanunua fasta baada ya kujiridhisha mali husika haina migogoro wala harufu ya utapeli.
 
Mkuu hii ni nyumba yako?
RRONDO hiyo ndio nyumba tunayoizungumzia ya mleta Mada joshua_ok ipo post#1ipo KEREGE
yaani nina wasiwasi ni zile za 15 kwa 20 meter hakuachiwa hata shamba
Sijui unamshaurije, wapangaji hakuna, mifugo haiingii maana pembeni yupo mwenye mji na watoto kibao ni kuzunguka tu mpaka kwenye mihogo anajisaidia
labda tumuombe joshua_ok apige tena kwa mbele kabla ya kumwambia arudi Sinza km ni hicho kibanda tu bila shamba
 
asilimia 75 ya wafanyakazi wote serikalini na taasisi binafsi mshahara wao ni chini ya milioni kwa mwezi, halafu watu wanaleta habari za laki 2 kwa siku, mara kiwanja milioni 50, ukisikiliza habar za JF utaishia kupata msongo wa mawazo
Laki ni pesa jamaa yangu humu JF kuna watoto sana, wanazungumzia mshahara wa Makatibu wakuu kujifanya eti ni wa kwao.
Rais kaingia Madarakani kachinja wote wamerudi km kawaida, leo mtu anazungumzia kwa mwezi 75M mara 6m kwake ni kila mwezi. hawaijui thamani ya buku 5 wanadhani zinaingia tunavyoshinda hapa JF
 
Mkuu mbona kama umepanik wakati laki 2 kwa siku ukiizidisha kwa mwezi ni milioni 6 tu ambao huu ni mshahara wa kawaida kabisa kwa watu wa mataasisi makubwa..? Tatizo ukisema laki 2 kwa siku inaonekana kama ni hela nyingi kumbe ni hela ya kawaida tu.
Siwezi kupanic kwa ajili ya member walionyuma ya keybody jibu la fananisha na hili, ni kufundishana tu kwanini mtunyime fursa? unaweza kukuta wewe ni Katibu wa Kata unasimamia Uchaguzi mpaka mwaka kesho unaisha upo na ghorofa
post: 33453710 said:
Biashara na Kilimo cha Fb, Instagram
 
Hahhaa mm sio dalali mkuu..wala sijaajiriwa!ninamishe tu za hapa na pale!ile ishu ya 200k naona imekudisturb sana...hii ni chitchat tu mkuu..potezea!
nimeshakupata zamani, ndio maana ya kijiwe cha JF kuliko kwenda Bar au kijiweni bora hapa tudanganyane, na sio mm tu niliyeshtuka 200k wapo member humu wanazikamata 6M sikujua Makatibu, Mawaziri tunao humu saa hizi Mbunge hasogei tena hapo labda vipindi vya vikao
 
Sio wajinga..nadhan hapa unachobishania na mwenzako ni vipaumbele...!kila.mtu na kipaumbele chake..mwingine kipaumbele chake ni kumiliki.gari kali..mwingine kipaumbele ni kusave hela..kila mtu na maono yake!
Mimi nakupenda tu ulivyo open-minded, positive in everything.
 
nimeshakupata zamani, ndio maana ya kijiwe cha JF kuliko kwenda Bar au kijiweni bora hapa tudanganyane, na sio mm tu niliyeshtuka 200k wapo member humu wanazikamata 6M sikujua Makatibu, Mawaziri tunao humu saa hizi Mbunge hasogei tena hapo labda vipindi vya vikao
[/QUOTE

Humu tunajipa tu ahueni ya maisha mkuu .tunajifariji ...!atleast mioyo yetu isuuzike!....! Hakuna khs anayeweza kufanya biashara akamake 200k nasema mm hayupo
 
[emoji28][emoji28]!nakera watu huu uzi ujue, [emoji28]
Kila mtu ana njia yake katika mafanikio, na kila mtu ana definition ya kufanikiwa. Kuna mwingine akikamata Passo anashukuru na maisha yanasonga[emoji23][emoji23], mwingine akiapata anahitaji zaidi na zaidi.

We differ in many ways, mafanikio yana definitions nyingi, wasikuonee wivu[emoji23][emoji23]
 
Wakuu enzi za Neema za Mkwere nilijenga maeneo ya Kerege sasa mambo yalipobana kodi ikanishinda Sinza nikahamia kwangu Kerege asee najuta maana hizo gharama za mafuta zinazidi kodi ya nyumba Sinza (400,000/=).

Bado sijaweka ukuta, vibaka kila mara wanavamia nikiwa kazini mjini nimejaribu kuuza nyumba haiuziki wanunuzi wengi wanadai huku uswahilini sana.

Funzo: Vijana msikimbilie kujenga kama hamjajipanga.

View attachment 1259979

Heri wwe umejenga una pakufikia,usawa huu akiuziki kitu watu wanna makluger,hiarrier ayauziki watu wanakimbilia ccc 1000 kama si lzm usiiuze subiri awamu ya namba ipite kwanza.Tafuta magomeni upange kuliko kutumia hizo kuweka mafuta ambapo utapata nyumba Kali.
 
Kweli kila mtu anawaza ajuavyo yeye...yaan nipewe laki 2 kwa mwezi??hapana...!ila kuna biashara kichaa sana...labda ujenge nyumba ukopee mkopo mzuri benk...mwee huyo laki 2 mm naipata kwa siku 1!nah!
Sasa lak 2 kwa siku moja unashindwaje kujenga ukuta na kujaza mafuta gari. Afu hiyo nyumba haiendani na kiwango cha pesa unayopata kwa cku
 
Back
Top Bottom