Najuta kuhamia kwangu Kerege

Najuta kuhamia kwangu Kerege

pole wanakuandama wewe tu, waambie wakaanze post No 1
wakianzia katikati wanajua niwewe ni mleta mada waambie hapa ni kijiweni / jokes waache hasira


Ah wap..huna hata haja ya kunipa pole!nimegundua niko kwnye wrong direction relax
 
Jamani mbona mnanitisha! Uamuzi wangu kwa Dodoma umeanza kunipa mawazo na hivi nifanyapo kitu ni mzito kutaka ushauri wa watu!

Live long JF, nimesoma comments zote nimepata shule bora kabisa tena bure, akili mkichwa sasa.
 
Mkuu mbona kama umepanik wakati laki 2 kwa siku ukiizidisha kwa mwezi ni milioni 6 tu ambao huu ni mshahara wa kawaida kabisa kwa watu wa mataasisi makubwa..? Tatizo ukisema laki 2 kwa siku inaonekana kama ni hela nyingi kumbe ni hela ya kawaida tu.


Kubwa sana hyo mkuu..!hakuna biashara za hvyo
 
Mkuu piga uwa garagaza sihami kisutu hata iweje..japo kajumba kangu ni kadogo na kodi ya msajili imepanda maradufu.lakini ntapambana tu
Naanza kuwaelewa wahindi kwa nn hawahami city centre na akaunti zimetuna benki. Watoto wanasoma UK na Canada, Duka lipo mita chache toka nyumban kwake
 
Watu wanakera mnoo mkuu.Wana mentality za kizee mnoo.kijana amebahatisha kupata 10milion kwa shida mnoo,anaikimbizia kwenye ujenzi.
Wewe mwenye mentality ya kitajiri unaona milioni kumi ni pesa ya kuacha kazi na kufanya kufanya biashara siyo? Seriously? Biashara ya uchuuzi? Kweli safari tunayo
 
Hiyo gari unaifanyia service mara ngapi kwa mwaka?

Gari ya kukusanya watu 10 kila siku kwenda na kurudi which is 120km, inahitaji maintanance ya kufa mtu.

Umeiweka kwenye gharama zako? Au hiyo revenue ndo profit?

Gari inayoenda 120 Km kila siku inahitaji siku 90 (miezi mitatu) kumwaga oil (inacost kitu kama 150K) na service zingine kama shockups n.k.

Linganisha na gari inayoenda 30 km kila siku ambayo itahitaji siku 300 kumwaga oil at the same cost. Anatumia less fuel na gari haichoki haraka.
ndugu ukitaka kufanya yako utachelewa ilimladi nalala kwangu pesa ya mafuta inapatikana na service inatikana sio kesi kwa siku huakika 70 imeingia na mishe zangu za umachinga napiga kujipatia riziki ya kila siku sio mbaya.ikichoka tutauza chuma chavu ila ushauri wako nilipewa toka 2017 lkn chuma inapiga kazi na zingine nimezikuta na zipo road kila siku.wacha uwoga mkuu
 
Back
Top Bottom