Najuta kuhamia kwangu Kerege

Yaani hiyo kwenye picha ndio Nyumba yenyewe ?
 
Mkuu umesema ulijenga hiyo nyumba wakati wa neema ya Kikwete,ile haikuwa neema,ilikuwa wizi.

Na huo ushauri wako kwa vijana dah,mbovu sana.Tatizo sio kujenga,tatizo ni uamuzi wako mbovu wa kujengea eneo baya.Na kama hiyo ndiyo nyumba yenyewe dah,sijui utamuuzia nani.
 
Acha woga dogo,wenzio wamejenga na kuishi kule nyumbu jeshini kwa mathius kibaha ndani na kila siku wapo mjini!,Hapo kerege pua na mdomo mjini dar us slaam!.
 
Namshangaa sana jamaa anayeona kuwa kuingiza laki mbili kwa mkoani kuwa ni pesa kubwa sana tena sehemu kama kahama au Nzega pesa nje nje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeongea vyema, Ila mwisho umemalizia vibaya. Mimi nina nyumba Mkuranga ni nzuri na kubwa mara mbili ya ninayokaa Kijitonyama, lakini ya Mkuranga napokea kodi nusu ya ninayolipia Kijitonyama.
 
ndoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…