ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Unavyopenda kujimwambafai[emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Unavyopenda kujimwambafai[emoji3]
Haha, watoto wa kizazi hiki nyie tabu tupu!! Hivi ushafika 30 Mane?Hahhaaaj ww ndo nakuzaa asbh sana sana!
Yaan natafuta 50 unanirudisha huko!bye bwana!naona matharau km ytHaha, watoto wa kizazi hiki nyie tabu tupu!! Hivi ushafika 30 Mane?
50 utaitafuta tu mkuu, labda sana unaitafuta 40. Bado bado sana, mtoto mbichi wa kulia wali kabisa[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji39]Yaan natafuta 50 unanirudisha huko!bye bwana!naona matharau km yt
50 utaitafuta tu mkuu, labda sana unaitafuta 40. Bado bado sana, mtoto mbichi wa kulia wali kabisa[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji39]
Njoo mama mtumishi, njoo!!Unahitaji nije nikufanyie "Effort"
Yaani hiyo kwenye picha ndio Nyumba yenyewe ?Wakuu enzi za Neema za Mkwere nilijenga maeneo ya Kerege sasa mambo yalipobana kodi ikanishinda Sinza nikahamia kwangu Kerege asee najuta maana hizo gharama za mafuta zinazidi kodi ya nyumba Sinza (400,000/=).
Bado sijaweka ukuta, vibaka kila mara wanavamia nikiwa kazini mjini nimejaribu kuuza nyumba haiuziki wanunuzi wengi wanadai huku uswahilini sana.
Funzo: Vijana msikimbilie kujenga kama hamjajipanga.
View attachment 1259979
Mkuu umesema ulijenga hiyo nyumba wakati wa neema ya Kikwete,ile haikuwa neema,ilikuwa wizi.Wakuu enzi za Neema za Mkwere nilijenga maeneo ya Kerege sasa mambo yalipobana kodi ikanishinda Sinza nikahamia kwangu Kerege asee najuta maana hizo gharama za mafuta zinazidi kodi ya nyumba Sinza (400,000/=).
Bado sijaweka ukuta, vibaka kila mara wanavamia nikiwa kazini mjini nimejaribu kuuza nyumba haiuziki wanunuzi wengi wanadai huku uswahilini sana.
Funzo: Vijana msikimbilie kujenga kama hamjajipanga.
View attachment 1259979
Acha woga dogo,wenzio wamejenga na kuishi kule nyumbu jeshini kwa mathius kibaha ndani na kila siku wapo mjini!,Hapo kerege pua na mdomo mjini dar us slaam!.Wakuu enzi za Neema za Mkwere nilijenga maeneo ya Kerege sasa mambo yalipobana kodi ikanishinda Sinza nikahamia kwangu Kerege asee najuta maana hizo gharama za mafuta zinazidi kodi ya nyumba Sinza (400,000/=).
Bado sijaweka ukuta, vibaka kila mara wanavamia nikiwa kazini mjini nimejaribu kuuza nyumba haiuziki wanunuzi wengi wanadai huku uswahilini sana.
Funzo: Vijana msikimbilie kujenga kama hamjajipanga.
View attachment 1259979
'Akikaa vibaya'!Kwani umri wa kuoa kidume ni upi! Mane bhana, hata wewe nakuzaa ukikaa vibaya [emoji39][emoji39][emoji39]
LETE BUKU JERONilijua karago,kumbe kerege..lol iko wapi hii hapa Tz??
Cheee!!!LETE BUKU JERO
NIKUELEKEZE.
Namshangaa sana jamaa anayeona kuwa kuingiza laki mbili kwa mkoani kuwa ni pesa kubwa sana tena sehemu kama kahama au Nzega pesa nje njeMkuu usichulie poa, huko mikoani na vijijini ndio hela ilipo.. Dar watu wamekaba kila fursa, unahitaji mtaji wa kutosha kuingia kwenye mbilingembilinge za Dar..
Kahama,Geita, Katoro,Nzega hiyo miji mzunguko wa hela ni mkubwa na kama unacheza karata zako vizuri uwezo wa kuingiza 200K kwa siku upo... Hiyo 200K mbona hata Dar au Mwanza ukicheza draft yako vizuri unaipata??
Umeongea vyema, Ila mwisho umemalizia vibaya. Mimi nina nyumba Mkuranga ni nzuri na kubwa mara mbili ya ninayokaa Kijitonyama, lakini ya Mkuranga napokea kodi nusu ya ninayolipia Kijitonyama.Tatizo la kujenga nje ya mji hata ukisema upangishe hiyo nyumba huwezi pata mpangaji,we unafikiri nani akapange kilomita zaidi ya 35 kutoka town ni ngumu.
Bei tunazonunulia viwanja dsm ni bora ukaenda mkoani utapata kiwanja karibu kabisa na mjini unajenga nyumba yako safi na ukiipangisha hukosi kodi ya 200k au 150k kwa mwezi.
Mfano mkoa kama Tanga ukiwa na million 6 au 7 unaweza kupata kiwanja within 15 kilomita kutoka mjini, ukijenga nyumba nzuri kupata mpangaji ni uhakika. Kodi utakayopata mkoani unaitumia kupanga sinza au magomeni
ndotoTatizo la kujenga nje ya mji hata ukisema upangishe hiyo nyumba huwezi pata mpangaji,we unafikiri nani akapange kilomita zaidi ya 35 kutoka town ni ngumu.