Najuta kuhamia kwangu Kerege

Kwa hiyo ulijenga kwa hela za kuiba hukuzoea kuishi kwa mshahara wako ndiyo maana unaona maisha yanakwendea vibaya, kwani enzi hizo mafuta ulikuwa unanunuliwa now unanunua mwenyewe. Acha ukome.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Funzo: Vijana msikimbilie kujenga kama hamjajipanga.
Kujenga muhimu,ila ujiulize unajenga wapi na kwa nini
Kerege ni halmashauri ya bagamoyo,ulitakiwa uhamie baada ya kustaafu au kubadili kazi
Halafu sio lazima uje na gari mpaka mjini unaweza kupaki bunju ukachukua daladala mpaka makumbusho au kkoo
 
Mawazo ya Graduate jobless anaekaa kwa mjomba wake Mbagala
 
Mawazo ya Graduate jobless anaekaa kwa mjomba wake Mbagala
Sasa wewe ulieenda kujenga bagamoyo kazi unafanya posta,gari unayotumia ni crown athlete na unalazimisha kuja nayo mjini tukuone,unatofauti gani na jobless wa mbagala kwa mjomba wake
 
Nimeuliza tu, natafuta mkuu nikipata nitajenga insha'Allah

Kaka tutafute pesa na sie tujenge. Kuuliza tu swali kwa picha aliyeweka mwenyewe imekua nongwa, sasa hapo wivu uko wapi?
 
Sasa wewe ulieenda kujenga bagamoyo kazi unafanya posta,gari unayotumia ni crown athlete na unalazimisha kuja nayo mjini tukuone,unatofauti gani na jobless wa mbagala kwa mjomba wake
Mkuu bado hujamalizia hapo[emoji23]na asubuhi wakati wakuja posta barabara ya ununio kunakuwaga na ligi moja matata ni mbio mbio sasa huyu jamaa lazima alalamike maana wese linaishia kwenye ligi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu bado hujamalizia hapo[emoji23]na asubuhi wakati wakuja posta barabara ya ununio kunakuwaga na ligi moja matata ni mbio mbio sasa huyu jamaa lazima alalamike maana wese linaishia kwenye ligi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu anashauriwa analeta nyodo,asubiri usafiri wa boti toka bagamoyo mpaka dar unaanza mwaka huu
 
Fuga nguruwe humo utaongeza hela ya mboga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Panda daladala
 
Sinza mvua ikinyesha ni takataka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…