Najuta kuhamia kwangu Kerege

Mkuu nyumba yako hakuna mbali...

vunja mifupa meno bado ipo,,,

.Leo unaweza kuwa na uwezo wa kujenga nyumba..
Maisha yanabadilika,,,

Kesho utashindwa hata Kununuwa kitasa cha mlango..

wapo wengi walishindwa kujenga kwa kisingizio cha umbali...

Leo wanashindwa hata kodi ya chumba kimoja....

wewe jenga nyumba,, hata kama hautoishi hapo ...Maendeleo yatakufata baadae.
 
Wahindi hawajajenga na maendeleo Kama yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…