Najuta kuhamia kwangu Kerege

Najuta kuhamia kwangu Kerege

Mkuu nyumba yako hakuna mbali...

vunja mifupa meno bado ipo,,,

.Leo unaweza kuwa na uwezo wa kujenga nyumba..
Maisha yanabadilika,,,

Kesho utashindwa hata Kununuwa kitasa cha mlango..

wapo wengi walishindwa kujenga kwa kisingizio cha umbali...

Leo wanashindwa hata kodi ya chumba kimoja....

wewe jenga nyumba,, hata kama hautoishi hapo ...Maendeleo yatakufata baadae.
 
Ukijenga NYUMBA YAKO hakuna UMBALI...VUNJA MIFUPA MENO BADO IPO...Leo unaweza KUJENGA NYUMBA...ksho Maisha yanabadilika,,,UTASHINDWA KUNUNUWA JAPO KITASA CHA MLANGO....wapo WENGI walishindwa KUJENGA KWA KISINGIZIO CHA UMBALI...Leo WANASHINDWA HATA KULIPA KODI YA CHUMBA KIMOJA....WEWE JENGA NYUMBA hata kama HUTOISHI HAPO ...MAENDELEO YATAKUFATA...

Sent using Jamii Forums mobile app
Wahindi hawajajenga na maendeleo Kama yote
 
Back
Top Bottom