Lakini Congo zamani nakumbuka vitenge vilikuwa bei rahisi zaidi kuliko Tanzaniahv wanatoa china au kigoma?. kuna mtu ashawahi nambia kwamba vitengr vinatoka kgoma,kgoma wanatoa burundi na congo!! sjui n sahh?
Ni kama unafanya kazi Arusha alaf ujenge Moshi alafu uhamie kwako kila asubuhi na jioni ufunge safari kwa gari binafsi ni lazima uone nyumba haina maana lakini kujenga Ni kitu cha muhimuYeye nae alienda kujenga mbali mno
Kupanga ni kuchagua hivyo alipanga kuichagua KeregeSio kweli enzi hizo mil 6-10 angepata kiwanja kikubwa
nadhan mpaka sku hz bei n rahs kuliko tz ndo mana watz huwa wanachukulia hukoLakini congo zamani nakumbuka vitenge vilikuwa bei rahisi zaidi kuliko tz
Siku hizi ata watz wengi wanachukulia chinanadhan mpaka sku hz bei n rahs kuliko tz ndo mana watz huwa wanachukulia huko
Kweli kabisa..japo kuna anko wangu anafanya kazi Arusha afu kajenga moshi kila siku anaenda na kurudi kwa gari binafsi na hajawahi lalamika, mi naona mtoa mada ujana ulikuwa unamsumbuaNi kama unafanya kazi Arsha alaf ujenge moshi alaf uhamie kwako kila asubuhi na jion ufunge safari kwa gari binafs ni lazma uone nyumba haina maana lakin kujenga Ni kitu cha muhim
Wakuu enzi za Neema za Mkwere nilijenga maeneo ya Kerege sasa mambo yalipobana kodi ikanishinda Sinza nikahamia kwangu Kerege asee najuta maana hizo gharama za mafuta zinazidi kodi ya nyumba Sinza (400,000/=).
Kutokana na sasa hela kuwa ngumu nimeweka ukuta mfupi, vibaka kila mara wanavamia nikiwa kazini mjini nimejaribu kuuza nyumba kupitia kwa madalali na Zoom haiuziki wanunuzi wengi wanadai huku uswahilini sana.
Funzo: Vijana msikimbilie kujenga kama hamjajipanga.
Inawezekana ikawa ngumu kwako kuamini...lakini ukizichanga karata vyema migodini ni kugusa tu..
Nenda Duka urafiki karibu na Urafiki polisihv ni wapi naweza vitenge vizuri original kwa bei ya chini?
asante itabidi nifanye hvo,,,,hv huenda hata hawa wauzaji wa jumla huwa wanachukua huko eeh?Nenda Duka urafiki karibu na Urafiki polisi
sawaInawezekana ikawa ngumu kwako kuamini...lakini ukizichanga karata vyema migodini ni kugusa tu..
Mfano ukawa in Gest vyumba 30! Na bahat mgodi uwe umelipuka...saa3 asbh vyumba pomoni...@10000/-..mgodi ukianza kukata daily vymba ni 2000/- hapo una uhakika wa 60/- achana na zile za fasta fasta...mwenzako nilishazipokea Sana hizo. .siandiki tu mradi...!
Kuna Nini?Kerege tukutane kwa Mzee Massawe
Sana sana, kwanza anaweza pata solution kama akitulia, kama kutafuta kazi ya karibu au kufanya biz, ulinzi shirikishi na mbwa wakali, amshukuru mungu kamjalia kujenga boma kali kama hii, kwanza sijuwi yuko wapi maana hajarudi kabisa kwenye thread yake?!Mkuu shukuru hata umejenga japokuwa ulikuwa hujajipanga, ila naamini ulijipanga ndo maana ukajenga....kuna vijana hata chumba cha kupanga ni utata..
Acheni kudanganyana,tatizo mnaangali ulipo leo ila hamjui kesho mtakuwa wapi,Kwa ushaur mdog tu ni kwamba Ukikaa kwako ni heshima kubwa sana,unakuwa huru,unapanga mambo binafsi bila bughdha yyte na mkumbuke maisha yanabadilika huwez jua kwamba kila siku utakuwa na uhakika wa kodi ya nyumba..ThanxNi Bora upange sinza nyumba ya milioni moja na nusu kuliko kwenda kuishi bagamoyo. Mafuta kwa mwezi,maji ya kununua,yaani Ni Shida.