Najuta kuhamia kwangu Kerege

Hapo cha kukushauri ni kuwa kama unaweza hapo kwako Kerege usipauze bali uza gari nadhani huwezi kukosa milioni 10 hadi 15, nenda kacheze na madalali wa mahakama kisha waelezee nyumba uitakayo kwa bei hiyo, Utapatiwa zile nyumba za Urithi ambazo kwa hela hiyo ya milioni nane hadi 15 unapata sehemu tu nzuri kama Kigogo, Mwananyamala ama Buguruni
 
Alokuambia kerege ni uswahilini ana akili kama zako.
Nyumba ujenge mwenyewe, utuwekee na mipicha huku huwezi kua timamu
Wakuu enzi za Neema za Mkwere nilijenga maeneo ya Kerege sasa mambo yalipobana kodi ikanishinda Sinza nikahamia kwangu Kerege asee najuta maana hizo gharama za mafuta zinazidi kodi ya nyumba Sinza (400,000/=)...
 
Huyu jamaa hamnazo kabisaaaa[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Poleni
 
Alokuambua kerege ni uswahilini ana akili kama zako.
Nyumba ujenge mwenyewe, utuwekee na mipicha huku huwezi kua timamu
Mwache akabanane huko karibu na mjini, kama ndio mahesabu mazuri atajua huko baadaye, binafsi naona anatapatapa, kafanya la maana kupitiliza ghafla kaleta ujana, uamuzi ni wake majuto baadaye..
 
Mtu atoke Kerege akaishi Kigogo, Mwananyamala?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…