Hajto
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 5,646
- 5,606
Hapo cha kukushauri ni kuwa kama unaweza hapo kwako Kerege usipauze bali uza gari nadhani huwezi kukosa milioni 10 hadi 15, nenda kacheze na madalali wa mahakama kisha waelezee nyumba uitakayo kwa bei hiyo, Utapatiwa zile nyumba za Urithi ambazo kwa hela hiyo ya milioni nane hadi 15 unapata sehemu tu nzuri kama Kigogo, Mwananyamala ama Buguruni